×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Maunda Zorro, Atuma Salamu za Rambirambi Kutokea Marekani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini Marekani katika ziara yake ya kikazi ametuma...

READ MORE

Spika Dkt. Tulia Awataka Wananchi Chunya Kuiunga Mkono Serikali ya Rais Samia

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackaon (Mb), amewataka Wananchi kuendelea kuiunga mkono...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Ashiriki Mazishi ya Maunda Zorro, Awapa Pole Familia – VIDEO

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika kuusindikiza mwili wa aliyekuwa msanii hapa nchini...

READ MORE

UN Yapinga Mpango wa Uingereza Kupeleka Wakimbizi Nchini Rwanda

UMOJA wa Mataifa kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Gillian Triggs umesema mpango wa kuwapeleka wahamiaji haramu nchini Rwanda kutoka...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi

KWA mara ya kwanza tangu vita kati ya Urusi na Ukraine ianze Urusi imetamka rasmi kupitia kwa Waziri wake wa...

READ MORE

Pablo, Kapombe Wadai Orlando Anakufa, Mashabiki Wajae kwa Mkapa

KOCHA wa Klabu ya soka ya Simba Pablo Franco Martin amesema kwa upande wao kama timu wapo vizuri kuanzia benchi...

READ MORE

Esma: Harmonize ni Mtu Wetu na familia ya Wasafi Inafurahia Mafanikio yake

ESMA Khan au Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anasema kuwa, hakuna uhasama...

READ MORE

Urusi Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuacha Kuipatia Misaada ya Kivita Ukraine

URUSI  imeionya Marekani na mataifa mengine washirika wengine kuacha mara moja kusambaza silaha kwa Ukraine.   Onyo hilo lilikuja katika...

READ MORE

Mfungwa wa Kifungo cha Maisha Apewa Siku 15 Uraiani Ampatie Mimba Mke wake

  MWANAMKE anayefahamika kwa jina la Rekha ameenda kuililia mahakama ya Rajasthan nchini India akitaka apewe mimba na mume wake...

READ MORE

Paula: Tunatumia Helikopta Kwenda Sokoni, Awaonya Wenye Makasiriko Kukaa Kimya

  KAMA wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Movies utakuwa unamjua Kajala Masanja au Frida Kajala na kama ni mfuatiliaji wa...

READ MORE

Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani Kuboresha Sekta ya Usafiri wa Anga

ZIARA ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan imechukua nafasi yake ya kipekee baada ya kutokea tukio la kihistoria ambapo...

READ MORE

Benki ya CRDB: Tuko Tayari Kufanya Kazi na Makampuni ya Bima ya TAKAFUL

  WATEJA wa Benki ya CRDB sasa wanaweza kupata huduma za Bima zinazofata misingi ya Shariah, ijulikanayo kama Takaful baada...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Aprili 16, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 16, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Kamala Harris, Makamu wa Rais wa Marekani – (Picha +Video)

  RAIS Samia Suluhu Hassan Aprili 15, 2022 amekutana kwa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris karibu...

READ MORE

Kiungo wa Manchester United Matic Atangaza Rasmi Kuondoka Klabuni

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Manchester United raia wa Serbia Nemanja Matic amesema mwisho wa msimu huu anaondoka katika klabu...

READ MORE

Mwili wa Msanii Maunda Zahir Zorro Kuzikwa Kesho Kwenye Makaburi Yaliyopo Kibada, Kigamboni

MWILI wa Msanii wa Bongo Fleva, Maunda Zahir Zorro unatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi kwenye makaburi yaliyopo Kibada, Kigamboni ambako alikuwa...

READ MORE

Rihanna na ASAP Rocky Je Kweli Wamemwagana? Inasemekana Kisa ni Usaliti

    Habari inayotrend kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa leo, ni madai kuhusu mastaa wawili wakubwa wa...

READ MORE