×

Mtoto wa Mbunge Mwambe Afariki Kwenye Swimming Pool

CELLIE Mwambe (14), ambaye ni mtoto wa Mbunge wa jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe, amefariki dunia jana Agosti 23, 2022,...

READ MORE

Mtoto wa Waziri Simbachawene Afikishwa Mahakamani, Ahukumiwa

Mahakama ya kinondoni imemhukumu Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,...

READ MORE

Masista Wanne wa Kanisa la Katoliki Watekwa Nyara na Watu Wasiojulikana

MASISTA wanne wa kanisa la Katoliki wametekwa nyara na watu wasiojulikana katika Jimbo la Imo lililopo Kusini Mashariki mwa Nigeria....

READ MORE

Mwalimu Mkuu Aanguka na Kufariki Akiwa Njiani Kuelekea Shuleni

HALI ya huzuni ilitanda katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Shitoto iliyoko Mumias Mashariki, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya...

READ MORE

JATU Yapelekwa Takukuru, Waziri Bashe Ataka Hatua Kali Zichukuliwe

WAZIRI wa Wizara ya Kilimo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hussein Bashe ameagiza kuipeleka katika Taasisi ya Kupambana na...

READ MORE

Ajikuta Amezikwa Kaburini Baada ya Kulewa Kupita Kiasi

MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30), mkazi wa Amerika Kusini ya Bolivia, amejitokeza na kueleza...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt Mpango Ahudhuria Msiba wa Marehemu Augustine Mrema

Makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amehudhuria katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Marekani Yafanya Uvamizi Nchini Syria, Kamanda Athibitisha Kuwa ni Amri ya Rais Biden

MAREKANI inasema imefanya mashambulizi ya anga mashariki mwa Syria, yakilenga miundombinu inayotumiwa na makundi yenye uhusiano na Jeshi la Walinzi...

READ MORE

Video: Mrembo Aliyetupwa Jela Sauzi Afrika Miezi 6, Mapya Yaibuka | Mapito

 Binti wa Kitanzania, Leyla Hamud amesimulia mapito ya maisha yake likiwemo tukio la kutaka kubakwa na mjomba wake katika...

READ MORE

Nini Kitatokea Baada ya Vita Kufikisha Nusu Mwaka Kati ya Ukraine na Urusi

WATAALAMU wanasema Ukraine inahitaji kufanya maendeleo kusini-magharibi mwa nchi wakati wa msimu wa baridi kali na jinsi Vladimir Putin anaweza...

READ MORE

Fahamu ni Jinsi Gani Unaweza Kuimarisha Kumbukumbu Yako

KUPOTEZA kumbukumbu kwa mwanadamu ni hali ya kawaida ambayo kitaalam inajulikana kama “Amnesia” Wakati mwengine kupoteza kumbukumbu kukizidi inakua ugonjwa...

READ MORE

Fahamu Zaidi Uzuri na Sifa za Watu Wenye Macho Makubwa

  KATIKA uumbaji wa mungu aliumba binadamu wenye sifa mbalimbali. Je ulishawahi kujua watu wenye macho makubwa wana sifa zipi...

READ MORE

Kiungo Mpya Aigomea Simba Kupunguziwa Mshahara Wake Atolewe Kwa Mkopo

  IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mpya wa Simba, Nassoro Kapama, amegoma kupunguziwa sehemu ya mshahara wake kikosini hapo wakati anajiunga na...

READ MORE

Simba Yampeleka Manzoki China, Kunolewa Miezi Mitatu Akirudi Yanga Mtamkoma

  MSHAMBULIAJI wa Vipers FC ya Uganda, Cesar Manzoki, muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa na moja ya klabu ya nchini...

READ MORE

Mwandishi wa Habari wa Mexico Auawa kwa Kupigwa Risasi

MWANDISHI wa habari wa Mexico, Fredid Roman ameuawa kwa kupigigwa risasi na mwili wake kukutwa ukiwa ndani ya gari kwenye...

READ MORE

Al Shabaab Kumalizwa na Utawala wa Rais Somalia, Ni Baada ya Mashambulio ya Kigaidi

RAIS wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne ameahidi kulitokomeza kabisa kundi la Al Shabab katika taarifa aliyoitoa kwa taifa tangu...

READ MORE

Kocha Simba ‘Maki’ Afunguka Sababu ya Nahodha Wake John Bocco Kutoonekana Uwanjani

  BOSI wa benchi la ufundi la Simba, Zoran Manojlovic ‘Maki’, ameweka wazi kuwa matakwa ya kimfumo ambao anautumia ndiyo...

READ MORE

Vodacom “Bring Your Child to Work” Yawajengea Watoto Ufahamu wa Masomo ya Sayansi

    Kampuni inayoongoza kutoa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania imeendelea na mpango wake wa kila mwaka...

READ MORE

Kampuni ya Simu ya Infinix Yatoa Tv 11 kwa Washindi wa Promosheni ya Kali Kuliko

Kampuni ya simu Infinix kupitia promosheni ya kali kuliko ambayo imekua ikiendelea kwa kupindi chote hiki hadi Mwezi wa Septemba...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

ata nakala yako ya Gazeti la Championi Aug-24, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE