×

Kocha Lampard Avunjika Mkono Kisha Kushangilia Ushindi

FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Everton amesema kuwa amevunjika mkono wakati wa kushangilia bao la ushindi timu yake ilipokuwa ikicheza...

READ MORE

Chadema Kuchagua Warithi wa Mdee, Wenzake

KUSUKA au kunyoa kwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘Chadema’ uamuzi wake upo mikononi...

READ MORE

‘Steve Nyerere Baiskeli Hajui Ndege Ataweza’

TUANZE mjadala polepole! Hivi tangu uzaliwe umeshawahi kusikia msanii Steve Nyerere akipiga gita au kurekodi singo ya muziki?   Umewahi...

READ MORE

Nafasi ya Kazi TFS, Account Assistant

POST ACCOUNTS ASSISTANT II – 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Burudani Ya Wikiendi Ipo Kwenye Laliga, Nyasi Zitaumia!

Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua...

READ MORE

Mwaka 1 Wa Rais Samia Atoa Ya Moyoni Kifo Cha Magufuli-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Simba Wataja Kifaa Kilichowamaliza Berkane Dar

BAADA ya kupata pointi tatu za nyumbani, uongozi wa Simba umeibuka na kumtaja kiungo wao mkabaji Jonas Mkude ndiye aliyekuwa...

READ MORE

Nabi Afunga Hesabu Mapema

NJE ya uwanja, tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amewamaliza wapinzani wake, KMC wenye maskani yao Kinondoni, Dar...

READ MORE

Simba Wanaitaka Kweli Fainali Shirikisho Afrika

HUKU wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wao wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...

READ MORE

Simba Yawaingiza Chaka ASEC Mimosas

WAPINZANI wa Simba, ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast, wajiandae kukutana na sapraizi mara watakapokutana katika mchezo ujao wa Kombe...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Machi 18, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nabi Aja na Mikakati Mipya ya Ubingwa Mtanzania

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amepanga kuja na mikakati mipya itakayompa matokeo mazuri ya ushindi ili kufanikisha malengo...

READ MORE

Msanii Kanye West Afungiwa Instagram Kwa Saa 24

Kanye West amepigwa marufuku kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kwa saa 24 baada ya kutumia lugha ya kibaguzi dhidi...

READ MORE

Pablo Awapa Majukumu Mazito Morrison, Sakho

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema amefurahishwa viwango vya mastaa wake hususani viungo, Pape Sakho na Bernard Morrison katika...

READ MORE

Lulu: Kupendwa na Mume Kila Mtu Ana Bahati Yake

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu; ni mmoja wa mastaa wakubwa waliodumu kwa muda mrefu kwenye Bongo Movies ambaye ameanza kuigiza tangu...

READ MORE

Pablo: Hatutoki Kileleni Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amesema malengo yake ni kuhakikisha timu hiyo haishuki kileleni na kumaliza vinara wa...

READ MORE

Hatma ya Ubunge wa Mdee na Wenzake Kizungumkuti

TAARIFA kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinasema hatma ya ubunge wa Halima Mdee na wenzake itafikia...

READ MORE

Zari: Sisi Sio Ma-ex Wenye Chuki

  Mwanasoshalaiti na mfanyibiashara mashuhuri kutoka Uganda, Zari Hassan ni mmoja wa watu mashuhuri ambao wameshirikishwa kwenye shoo ya ‘Young,...

READ MORE

Mwanasoka wa Kwanza Afrika Kuvunja Mkataba Urusi

Mnigeria Sylvester Igboun (31) amekuwa Mwanasoka wa Kiafrika wa kwanza kuondoka kwenye Ligi ya Urusi kufuatia uvamizi uliofanywa na Urusi...

READ MORE