×

Watatu Washinda Mamilioni Ya BetBonanza

  JUMLA ya washindi Wawili kutoka Vodacom na Airtel leo Jumanne asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya Shilingi Milioni Moja...

READ MORE

Mhariri Abeba Bango Runingani Akimshutumu Putin Kudanganya (Picha +Video)

Katika kipindi cha matangazo ya moja kwa moja ya habari kutoka Kituo cha Runinga cha Channel 1 cha nchini Urusi,...

READ MORE

Urusi Yazidisha Mashambulizi Kiev – Live Updates

Vikosi vya Urusi vimezidisha mashambulizi yake kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kiev, wakati ambapo wapatanishi wanakutana tena katika duru nyingine...

READ MORE

Bilionea Abramovich Atorosha Boti Za Kifahari, Ndege Binafsi

BILIONEA wa Urusi, Roman Abramovich ambaye pia alikuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, ametorosha boti zake mbili za...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Machi 15, 2022 amewaapisha viongozi wawili aliowateua hapo jana, ambao ni Humphrey Polepole aliyeteuliwa kuwa...

READ MORE

Berkane: Simba Itafika Fainali CAF

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amesifu ubora wa kikosi cha Simba kinachoundwa na nyota kibao,...

READ MORE

Jumba La Bilionea Wa Urusi Latekwa, Latumika Kuhifadhi Wakimbizi

Baadhi ya wanaharakati wameandamana katika Jiji la London nchini Uingereza na kuliteka jumba la kifahari linalomilikiwa na Bilionea wa Urusi,...

READ MORE

Bia Iliyotengenezwa Kwa Kutumia Majitaka

KATIKA juhudi za kuongeza ufahamu juu ya uwezekano wa kuyabadilisha Majitaka kuwa maji salama kampuni moja inayozalisha bia jijini Stockholm...

READ MORE

Kocha wa Taifa Stars Atangaza Kikosi

LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia...

READ MORE

Mke Ataka Kumtoa Uhai Mumewe

Mwanamke aitwae Zainabu Mahomoka 35 ambaye ni Mkulima kutoka kijiji cha Makonjiganga Wilayani Liwale mkoa wa Lindi amenusurika kushitakiwa Mahakamani...

READ MORE

Serikali ya Tanzania Yakaribisha Wawekezaji Sekta ya Kilimo

    SERIKALI ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao...

READ MORE

Prof. Kitila aibuka na Katiba Mpya

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema nchi ilishapiga hatua kwenye suala la Katiba Mpya kwani ilishakubaliana Mwaka...

READ MORE

Diamond: Kama Mrabaha tu Huwezi Kunipa, Tuzo Utanipa ?

Msanii kiongozi katika tasnia ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema iwapo hapatiwi mirabaha na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) itakuwaje...

READ MORE

Kupanda Na Kushuka Kwa Mchechu

JANA Machi 14, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...

READ MORE

Harmonize: Briana Ananisaidia Kuliko Sarah

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amekuwa hakaukiwi habari.   Safari hii anaeleza...

READ MORE

Ng’ombe wa Mayele awaibua Simba

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amerusha Kombora kwa watani zao wa Jadi Young Africans, baada...

READ MORE

Diamond: Bongo Hakuna wa Kushindana na Mimi

Taarifa hii ikufikie mpenzi wa buridani kwamba, supastaa wa Boingo Fleva, Diamond Platnumz amedai kuwa kumshindanisha yeye na wasanii wengine...

READ MORE

Roma Afananisha EP ya Diamond Platnumz na Karoti

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rapa Roma Mkatoliki ameamua kuifananisha FOA na Karoti baada ya kumkuta mwana anatafuna karoti na...

READ MORE

Mkandarasi Apewa Siku Saba Kabla Mkataba Kuvunjwa

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ametoa siku saba kwa Kampuni ya Daska Company Ltd, kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Azungumza Na Wazee Wa Mkoa Wa Arusha

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amekutana na kuzungumza na wazee wa...

READ MORE