×

Diamond: Hata Top 100 Haupo, Unataka Kunashindana na Mimi?

Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewataka wasanii wenzake wa Bongo kuungana na kuwa kitu kimoja badala ya kugombana na...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatano, Machi 16, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB, eGovernment Z’bar Zasaini Makubaliano Makusanyo Mapato

Benki ya NMB na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Wakala wa Serikali Mtandao ‘eGovernment Zanzibar’, wamesaini makubaliano ya...

READ MORE

Diamond: Zuchu Hajawahi Kuniangusha, Namuonyesha Upendo

Msanii maarufu nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa EP yake ya FOA ndio habari ya mjini, ameeleza kushangazwa kwake na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Hatimaye Diamond Amjibu Harmonize

Mwanamuziki nyota wa pop nchini, Diamond Platnamuz amemjibu msanii mwenzake aliyekuwa kampuni ya Wasafi, Harmonize kuhusu tuhuma za unyonyaji na...

READ MORE

Watatu Washinda Mamilioni Ya BetBonanza

  JUMLA ya washindi Wawili kutoka Vodacom na Airtel leo Jumanne asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya Shilingi Milioni Moja...

READ MORE

Mhariri Abeba Bango Runingani Akimshutumu Putin Kudanganya (Picha +Video)

Katika kipindi cha matangazo ya moja kwa moja ya habari kutoka Kituo cha Runinga cha Channel 1 cha nchini Urusi,...

READ MORE

Urusi Yazidisha Mashambulizi Kiev – Live Updates

Vikosi vya Urusi vimezidisha mashambulizi yake kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kiev, wakati ambapo wapatanishi wanakutana tena katika duru nyingine...

READ MORE

Bilionea Abramovich Atorosha Boti Za Kifahari, Ndege Binafsi

BILIONEA wa Urusi, Roman Abramovich ambaye pia alikuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, ametorosha boti zake mbili za...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Machi 15, 2022 amewaapisha viongozi wawili aliowateua hapo jana, ambao ni Humphrey Polepole aliyeteuliwa kuwa...

READ MORE

Berkane: Simba Itafika Fainali CAF

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amesifu ubora wa kikosi cha Simba kinachoundwa na nyota kibao,...

READ MORE

Jumba La Bilionea Wa Urusi Latekwa, Latumika Kuhifadhi Wakimbizi

Baadhi ya wanaharakati wameandamana katika Jiji la London nchini Uingereza na kuliteka jumba la kifahari linalomilikiwa na Bilionea wa Urusi,...

READ MORE

Bia Iliyotengenezwa Kwa Kutumia Majitaka

KATIKA juhudi za kuongeza ufahamu juu ya uwezekano wa kuyabadilisha Majitaka kuwa maji salama kampuni moja inayozalisha bia jijini Stockholm...

READ MORE

Kocha wa Taifa Stars Atangaza Kikosi

LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia...

READ MORE

Mke Ataka Kumtoa Uhai Mumewe

Mwanamke aitwae Zainabu Mahomoka 35 ambaye ni Mkulima kutoka kijiji cha Makonjiganga Wilayani Liwale mkoa wa Lindi amenusurika kushitakiwa Mahakamani...

READ MORE

Serikali ya Tanzania Yakaribisha Wawekezaji Sekta ya Kilimo

    SERIKALI ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao...

READ MORE

Prof. Kitila aibuka na Katiba Mpya

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema nchi ilishapiga hatua kwenye suala la Katiba Mpya kwani ilishakubaliana Mwaka...

READ MORE

Diamond: Kama Mrabaha tu Huwezi Kunipa, Tuzo Utanipa ?

Msanii kiongozi katika tasnia ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema iwapo hapatiwi mirabaha na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) itakuwaje...

READ MORE

Kupanda Na Kushuka Kwa Mchechu

JANA Machi 14, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...

READ MORE