×

Hamisa: Tutaishia Kugombana

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo, msanii wa muziki na Bongo Movies ambaye anasema kuwa, huwa anachukizwa na baadhi ya watu kudharau...

READ MORE

Kenya Yakumbwa na Uhaba wa Mafuta, Foleni Ndefu Zashuhudiwa Sheli

UHABA wa mafuta umeendelea kuikumba nchi ya Kenya, huku miji mikuu ikiripoti kuwa na foleni ndefu kwenye vituo vichache vya...

READ MORE

Waziri Nape Baada ya Simba Kutinga Robo Fainali, Ajilipua – “Hili Jambo Nimeliingilia Mwenyewe Sasa”-Video

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza mara baada ya Simba kuichapa USGN ya Niger kwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Ugawaji wa Vitendea Kazi kwa Maafisa Ugani Kilimo-Video

Rais samia leo april 4, 2022, amezindua zoezi la ugawaji wa vitendea kazi ikiwemo pikipiki kwa maafisa ugani kilimo wa...

READ MORE

Waziri wa Uingereza Masuala ya Afrika, LATAM na Visiwa vya Caribbean Atembelea Serengeti

    MOSHI, Tanzania; Aprili 3, 2022: Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Vicky Ford, leo...

READ MORE

Askofu Mwaikali Atikisa, Aongoza Mamia Ya Waumini, Chadema, ACT Wataka Bunge Lifupishwe…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Aprili 4, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mbele ya Rais Samia, Nmb Yaeleza Ilivyomwaga Mabilioni Kwa Wakulima

  JUMLA ya Sh78.8 bilioni zimeshatolewa na benki ya NMB kwa wakulima kati ya Sh100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya...

READ MORE

GGML yatoa Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT

KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya...

READ MORE

Kocha Simba Atoa Tamko la Kibabe Dhidi ya USGN Leo “Hii ni vita ya Kufa au Kupona”

ZIKIWA zimebaki saa chache kabla ya Simba haijashuka uwanjani kuvaana na US Gendarmerie katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Breaking: Watu Wafukiwa Na Kifusi Kigamboni, Zoezi La Uokoaji Linaendelea Muda Huu..

Taarifa iliyotufikia leo Aprili 3, 2022 ni kwamba watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi katika machimbo ya...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 16.69 kwa Miezi 9, Ongezeko la Trilioni 3.1 Ukilinganisha 2020/21

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika kipindi cha robo tatu ya mwaka wa fedha 2021/22, yaani kuanzia Julai...

READ MORE

Masoud Kipanya Azindua Gari Lake la Umeme, ni la Kwanza Kutengenezwa Tanzania -Video

MCHORAJI katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya April 2, 2022 amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa...

READ MORE

Kiungo Simba Atamani Kucheza Na Sure Boy, Fei Toto, Awakataa Aucho na Bangala

KIUNGO wa kimataifa wa zamani wa Simba raia wa Ghana, James Kotei, ameweka wazi kuwa kama ataambiwa achague viungo wa...

READ MORE

Dkt. Mpango Awaomba Viongozi wa Dini Kuendelea Kuliombea Taifa na Viongozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewaomba viongozi wa dini na waumini kwa ujumla...

READ MORE

Nabi Azitaka Kwa Nguvu Pointi Za Azam Aprili 6 “Tunahitaji Kuona Timu Inapata Ushindi”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, mipango yao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo ujao dhidi ya Azam...

READ MORE

USGN Wamekwisha… Kocha Simba Akesha Na Sakho, Ampa Mbinu za Maangamizi Usiku

ILI kuhakisha wanayazoea mazingira ya kucheza usiku mwingi, Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, juzi Ijumaa aliamua kuwapigisha mazoezi...

READ MORE

Nafasi za Kazi Ict Officer II (Application Programmer/Web Developer)

POST ICT OFFICER II (APPLICATION PROGRAMMER/WEB DEVELOPER) – 2 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER The Office of the...

READ MORE