×

Aliyekufa na Kuzikwa Mwaka 2021 Afufuka Nchini Msumbiji ‘Uchunguzi Wafanywa’

Binti Eurélia Manuel Benjamim Raia wa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi November mwaka...

READ MORE

Hamisa Achukizwa Atoa Povu Kisa Waandaaji wa Shoo “Wanadharau Kazi za Watu”

Hamisa Mobeto; ni mwanamitindo, msanii wa muziki na Bongo Movies ambaye anasema kuwa, huwa anachukizwa na baadhi ya watu kudharau...

READ MORE

Fernandes Ajitia Kitanzi Man United Mpaka 2026, Ataka Makombe

Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes  ameongeza mkataba mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2026 mkataba huu ukiwa na...

READ MORE

Ukraine Yafanya Shambulio la Anga Kwenye Ghala la Mafuta Katika Eneo la Urusi

Mamlaka za Urusi zimeishutumu Ukraine kwa kufanya shambulio la anga kwenye ghala la mafuta katika eneo la Urusi. Iwapo itathibitishwa...

READ MORE

Dstv Yashusha Neema Bongo Muvi, Yagawa Mitaji Kwa Waandaaji wa Filamu

    KAMPUNI ya runinga ya kidigitali ya Dstv ambayo imekuwa mkombozi wa wasanii wa filamu za hapa nchini maarufu...

READ MORE

Kinana Apita kwa Asilimia 100 Umakamu Mwenyekiti CCM Bara, Dodoma – Video

WAJUMBE wa mkutano mkuu maalumu wa CCM leo Ijumaa Aprili 1, 2022 wamemchagua Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha...

READ MORE

Mrema na Mkewe Waamsha Shangwe Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma, Rais Samia Atia Neno

WAKATI Rais Samia akiendelea kuhutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ghafla shangwe ziliibuka kutoka kona zote za...

READ MORE

Kocha Azam Atumia Dakika 90 Kuimaliza Yanga Azam Complex

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin, amesema dakika 90 alizotumia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya DTB inayoshiriki Championship,...

READ MORE

Fei Toto Ashusha Presha Yanga, Atoa Maneno Mazuri kwa Mashabiki Wake

KIUNGO fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametoa maneno mazuri kwa mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kukosekana kwake uwanjani...

READ MORE

Mwenyekiti Wa CCM Samia Anashiriki Mkutano Maalum Wa Chama-Video

Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan anashiriki mkutano maalum wa CCM. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️...

READ MORE

Straika Taifa Stars Mikononi mwa Yanga, Wajipanga Kumsajili Msimu Ujao

AKICHEZA mechi mbili akiwa na kikosi cha Taifa Stars kwa mara ya kwanza, straika George Mpole, tayari ameivutia Klabu ya...

READ MORE

Kinana, Membe Waibua Mjadala Kila Kona, CCM Kufanya Mabadiliko Leo-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Nafasi za kazi 2 TPA, ASSISTANT SECURITY OFFICER

POST ASSISTANT SECURITY OFFICER – 2 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION IT AND TELECOMS LEGAL EMPLOYER Tanzania Ports Authority...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo, Aprili 1, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 1, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nafasi za Kazi 26 VETA, Wapishi

POST COOK II – 26 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS HR & ADMINISTRATION TOURISM AND TRAVEL EMPLOYER Vocational Educational...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Simba Yampasua Kichwa Kocha wa Yanga… Awapa Onyo Wachezaji Wake

KUTOKANA na presha wanayoipata kutoka kwa wapinzani wao katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Marubani ATCL Wazuia Ndege Kupata Ajali Angani

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema itawazawadia tuzo maalumu Rubani Suhad Soud Kassim na Ofisa Daraja la kwanza,...

READ MORE