×

Utata Idadi Ya Vifo Ukraine

  WAKATI mapigano kati ya Urusi na Ukraine yakiingia siku ya tatu leo, majeshi ya Urusi yakiwa yameuzingira Mji Mkuu...

READ MORE

Mrembo: Nataka kuzaa na Harmonize

MREMBO mmoja ameibuka nchini Tanzania akitokea Dubai; lengo lake likiwa ni kumtafuta msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdul au Harmonize....

READ MORE

Tanzania, Kongo Kuandaa Mkutano Wa Wafanyabiashara.

WAZIR MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), zimepanga kuandaa mkutano mkubwa wa pamoja kati...

READ MORE

Ugeni Mzito Kutoka Nchini Poland

Mwanaharakati kutoka nchini Poland, Malgorzata Dec amefanya ziara maalum katika ofisi za Kampuni ya Global Group zilizopo Sinza Mori jijini...

READ MORE

Kilimanjaro Marathon 2022 Kutikisa Moshi Kesho Jumapili

Mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2022 zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu sasa zimewadia huku Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa Majaliwa...

READ MORE

Aunty Ezekiel Asafisha Kabati

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel ameweka wazI kuwa anahitaji kupunguza nguo ndani ya kabati lake hivyo ataanza kuuza nguo...

READ MORE

Mdogo wa Samatta Azua Jambo Uturuki

MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania anayefahamika zaidi kwa jina la mdogo wa msakata kabumbu wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika...

READ MORE

Uwoya Apewa Range Mpyaaa

Supastaa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameonesha zawadi ya gari lake jipya aina ya Range Rover alilopewa. Hata hivyo, Uwoya...

READ MORE

Video: Rais Wa Ukraine Akataa Kutoroshwa Na Marekani

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi ya...

READ MORE

Ghost Of Kyiv; Rubani Wa Ukraine Anayeitesa Urusi

Ndege ya kivita ya Ukraine, MiG-29 Fulcrum inayoongozwa na rubani aliyebatizwa jina la The Ghost of Kyiv (Mzimu wa Kyiv),...

READ MORE

Rais Wa Ukraine Akataa Kutoroshwa Na Marekani

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Siku Ya Tanzania EXPO 2020 Dubai-Video

Rais Samia leo 26 Feb 2022, ameshiriki sherehe za siku ya Tanzania expo 2020 nchini Dubai, ambapo yupo huko kwa...

READ MORE

Mayele Amkosesha Usingizi Beki Simba

BEKI wa kati wa Simba anayekipiga kwa mkopo Mtibwa Sugar, Ibrahim Ame, amesema mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele ameshindikana...

READ MORE

Simba Yawatumia Wamorocco Kuwavuruga Berkane

NI jino kwa jino huko Morocco. Katika kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa keshokutwa Jumapili dhidi ya RS...

READ MORE

Sanchi: Sijutii Kubadili Dini

MREMBO ambaye alipata umaarufu kutokana na kujaaliwa umbo matata la kuvutia, Surraiya Rimoy ‘Sanchi’ anasema kuwa, hajutii hata kidogo kitendo...

READ MORE

Aucho Jeuri Nyie! Atupa Kijembe Simba

BAADA ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara bila ya kufungwa huku wakiwa kileleni katika msimamo wakiwa na...

READ MORE

 Hamisa Mobeto Azoa Tuzo Nyingine

LICHA ya kuamua kuingia kwenye uigizaji na muziki, mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Hamisa Mobeto bado anaonekana kuwa na nyota...

READ MORE

Putin Ataka Jeshi la Ukraine Kuindoa Serikali ya Rais Zelensky

RAIS wa Urusi Vladimir Putin amelitaka jeshi la Ukraine kuiondoa madarakani serikali ya rais Volodymyr Zelensky Akilihutubia baraza la usalama...

READ MORE

Yanga Yashtukia Jambo, Yaipigia Hesabu Kali Simba

BENCHI la ufundi la Yanga, limechungulia kasi ya wapinzani wao kwenye vita ya ubingwa, Simba, na kushtukia jambo, ambapo wameweka...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Februari 26, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 26, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE