×

Upendo kwa Profesa Jay somo kwa mastaa Bongo

MKONGWE wa Hip Hop Bongo, Profesa Jay anaumwa; Tanzania yote imeshtuka, watu wanatamani kujua anaumwa nini, hii yote ni kwa...

READ MORE

Majaliwa Atua Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo kwenye Wilaya...

READ MORE

Diamond, Zuchu hakuna Ndoa Hapa!

LEO ni Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) ambapo staa mpya wa kike nchini Tanzania, Zuchu ametangaza kuwa usiku wa leo...

READ MORE

Rais Samia Atua Ikulu ya Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron...

READ MORE

Diamond Amkabidhi Kijana mil 20 “Hakuna Janja Janja”

Leo Februari 14, 2022 Diamond Platnumz amemkabidhi mshindi wa Jackpot ya Kampuni ya Wasafi Bet kitita cha Milioni 20 katika...

READ MORE

Auawa Kisa Kuchoma Qur-an

Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema,...

READ MORE

Ajiua Chumbani kwa Mpenzi Wake Baada ya Kufukua Kaburi la Mama Yake

Mkazi wa Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi Wille Mwakapimba amekutwa akiwa amejinyonga chumbani kwa mpenzi wake Hawa...

READ MORE

Msuva afunguka kuhusu wapi atacheza msimu ujao

  KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuwa watulivu na muda ukifika ndiyo ataweka wazi...

READ MORE

Yacouba anarejea mdogomdogo Yanga

KIUNGO wa Yanga, Yacouba Songne, yupo kwenye hatua za mwisho za kuimarika afya yake kabla ya kuungana na timu na...

READ MORE

Sakata Ngorongoro Lawagawa Wabunge

MVUTANO mkali umetokea kati ya pande mbili za wabunge wanaounga mkono hatua ya kupunguza watu ndani ya Mamlaka ya Hifadhi...

READ MORE

Mbowe, Wenzake: Tummenyimwa Chakula Miezi 5

KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe ameibuka malalamiko mahakamani ya kunyimwa chakula kwa zaidi ya miezi...

READ MORE

Dkt Tulia: Mdee na Wenzake Wapo Bungeni Kihalali

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali. Hata hivyo...

READ MORE

Balozi Edwin Rutageruka Afariki Dunia

Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Edwin Rutageruka amefariki dunia jana Jumapili,...

READ MORE

De Gea: Ninahisi Man U Tumerogwa

Kipa David De Gea sasa anadai kuwa klabu yake ya Mancheseter United huenda imerogwa. Man United imekuwa katika mahangaiko tangu...

READ MORE

Kontena Lamwangukia Dereva Bodaboda na Kufa

MTU mmoja ambaye ni Dereva Bodaboda anasadikiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kontena lenye nafaka katika eneo la Tabata...

READ MORE

Pointi 5 zaipa Kiburi Yanga Kusepa na Ubingwa

MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa pointi 5 ambazo wamewapita wapinzani wao Simba ni...

READ MORE

Muu Flow Awatisha Mastaa

KINDA anayekuja kwa kasi kunako anga la muziki wa kufokafoka (Hip Hop), Muu Flow ni mdogo wa umri, lakini mkubwa...

READ MORE

Simba kuwaweka kikao Bwalya, Chama

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwa wapigaji mipira iliyokufa ambayo wanaipata katika mechi ambazo...

READ MORE

Mfungwa na Mahabusu Wapigwa Risasi Wakijaribu Kutoroka

Mfungwa mmoja aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 gerezani na mahabusu aliyekuwa na tuhuma za mauaji, wameuawa kwa kupigwa risasi...

READ MORE

Lusajo: Nitampoteza Mayele

KINARA wa wafungaji kwenye Ligi Kuu Bara mpaka sasa, Reliants Lusajo, amemtangazia vita mpinzani wake mkubwa katika vita ya ufungaji...

READ MORE