OFISA Habari wa Azam FC, Thabiti Zakaria amefunguka na kuelezea maandalizi yao ya kuwamaliza Simba kwenye mchezo wao wa Ligi...
READ MOREMtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT....
READ MOREKIUNGO Mshambuliaji, Salum Abubakar Salum ‘Sure Boy’ tayari ametambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga baada ya hivi karibuni kuomba kuvunja mkataba...
READ MORENASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ugumu uliopo kwa timu hiyo kusepa na taji la Ligi Kuu Bara...
READ MOREEnzi hizo, sanaa na burudani ilikuwa siyo rasmi. Watu walicheza michezo na kufanya sanaa kwa mapenzi yao tu; wala siyo...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Jackob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya...
READ MOREWakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mbunge wa Jimbo la Buchosa...
READ MOREMFANYABIASHARA wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy anayedaiwa kuuawa na mtoto wake amezikwa leo Jumatatu Desemba 27, 2021 katika kijiji...
READ MORERais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amewasili Jijini Tanga nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutoa mkono wa pole kwa familia kufuatia...
READ MOREKaribu kutazama kipindi namba moja cha Udaku ‘HOTPOT’ kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania.
READ MOREPASCAL Wawa, beki wa kati wa Simba, ameweka wazi kuwa hakuna tofauti kati yake na Kocha Mkuu wa timu hiyo...
READ MORENYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo...
READ MOREBAADA ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi,...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata kwa mapanga mtu mmoja aliyefahamika...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 kuachiwa huru katika kumbukizi ya...
READ MORESalum Abubakar ‘Sure Boy’ kwa mara ya kwanza akiwasalimia wana-Yanga kwa Mkapa. Nyota huyo amejiunga na Yanga akitokea Azam FC.
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amemtaka Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kumtafuta...
READ MOREKAMA inavyotafsiriwa katika lugha, mila ni mambo yanayofanywa na jamii fulani ambayo yanalingana na asili, mazingira na nyendo za jamii...
READ MORENi headlines za mwanamuziki Harmonize ambae leo hii jina lake maarufu kama ‘Konde’ limeondolewa katika utambulisho wa mtoto wake wa...
READ MOREOFISA mmoja wa Jeshi la Polisi Naivasha nchini Kenya amemuua kwa kumpiga risasi bosi wake aliyemuuliza mbona alifika kazini kwa...
READ MORE