×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 12, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 12, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

FT: Simba 0-0 Yanga Ngoma Nzito

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa...

READ MORE

Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni

Polisi mwenye cheo cha Konstebo, Onesmo Joseph, amekufa baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake, aliyetajwa kwa jina la Joseph,...

READ MORE

Bashungwa Awataka Vijana Kuacha Chuki

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wasanii kushindana bila chuki na uhasama katika kukuza muziki na...

READ MORE

Polepole Alia na ‘Wahuni’ Ndani ya Serikali – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema kuna baadhi ya watu ndani ya Serikali (ambao hajawataja) wamekuwa wakifanya vitu vya hovyo...

READ MORE

Polepole: Siondoki CCM – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema hataondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kama ambavyo watu waekuwa wakimsema kwani anaamini...

READ MORE

Sakata la Machinga, Polepole Ahoji “Mhe. Rais Aliwatuma Hivyo?”

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amewataka viongozi wanaosimamia mamlaka za miji na majiji kuhakikisha wanafuata maelekezo ya Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Polepole Ataka Serikali Iwajibu Wanaohoji Deni la Taifa Awamu ya Tano – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amewataka viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza na kuwajibu watu wanaohoji kuhusu...

READ MORE

Polepole Aitwa Kujieleza TCRA “Siwezi Kunyamazishwa” – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema ameitwa na Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kujieleza kuhusu tuhuma zinazomkabili huku akidaiwa...

READ MORE

Polisi Kilimanjaro Wateketeza Mashamba ya Mirungi

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo tarehe...

READ MORE

Polepole Anazungumza Muda Huu, Ishu Ya Kuitwa Tcra, Madai Ya Kutaka Kujiondoa CCM-Video

Mbunge Humphrey Polepole leo 11 Dec 2021, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa, likiwemo suala la...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa...

READ MORE

LIVE:Waziri Mkuu Anashiriki Kongamano La Biashara Na Uwekezaji…

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo anashiriki katika kongamano la biashara na uwekezaji pamoja na mkutano mkuu wa wanachama, linalofanyika katika...

READ MORE

Wanandoa Watupwa Jela kwa Kutesa Mtoto Wao

MWANAUME mmoja na mke wake wa pili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Kocha wa Chama: Yanga Inawafunga Simba

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibenge, ameitabiria Yanga kuondoka na ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa...

READ MORE

Nyashinski Afunga Ndoa

MWANAMUZIKI Nyamari Ongegu maarufu Nyashinski amefunga ndoa na mpenzi wake Zia Bett katika hafla ya faragha iliyofanyika mapema jana Desemba...

READ MORE

Kim Kardashian Amchanganya Kanye

KANYE West ameweka wazi kuwa anajaribu kumrudisha mke wake. Hata hivyo, bado inaonekana Kim Kardashian ana mpango mbadala kwenye mahusiano...

READ MORE

Senzo: Msiwe na presha, Tunachukua Pointi

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuelekea kwenyemchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE