×

Masoud Djuma Arudisha Matumani Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji, umeibuka na kusema una imani timu hiyo itafanya vizuri na kufanikisha malengo yake ikiwa chini ya...

READ MORE

Abramovich Athibitisha Kuiweka Sokoni Chelsea

ROMAN Abramovich usiku wa Jumatano kwa hisia amethibitisha kwamba yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Abramovich ameamua kuuvunja ukimya...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Waitaka Urusi Kuondoka Ukraine – Video

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Dini, Waomba kumaliza kesi ya Mbowe

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Geita Gold Mining Ltd, Data Capturing

  ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Machi 3, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 3, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

Kikwete Ateuliwa SADC

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Live: Urusi Yadai Kuuteka Mji wa Kherson

SERIKALI ya Urusi inadai kuwa imeudhibiti kabisa Mji wa Kherson uliopo Kusini mwa Ukraine, ukiwa ndiyo mji wa kwanza kudhibitiwa...

READ MORE

Mabomu Ya Vacuum Tishio Ukraine

  SIKU chache zilizopita, Balozi wa Ukraine katika Umoja wa Mataifa, Oksana Markarova aliilalamikia Urusi kuwa inatumia mabomu hatari ya...

READ MORE

Kiiza: Huyu Mayele Atafunga Sana Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza‘Diego’amemuangalia straika waYanga, Mkongomani, Fiston Mayele na...

READ MORE

Wanajeshi Urusi Waishiwa Mahitaji Muhimu

KAMPUNI ya kijasusi ya ShadowBreak ya nchini Uingereza, imedai kwamba imenasa mawasiliano kati ya wanajeshi wa Urusi waliopo uwanja wa...

READ MORE

Nabi Ataja Kinachomnyima Mabao Makambo Yanga

KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu waYanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameibuka na kutaja sababu inayomfanya mshambuliaje wake Heritier Makambo kushindwa...

READ MORE

Wakili: Makonda Hakupewa Taarifa Kuitwa Mahakamani

WAKILI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito...

READ MORE

Darleen: Sijui Kama Bado Nipo Naye

MWANAMUZIKI Mwanahawa Abdul Juma almaarufu Queen Darleen amefunguka kuhusu ndoa yake na mfanyabiashara Isihaka Mtoro. Queen Darleen ambaye ni dada...

READ MORE

Ndoa ya Zari na GK Choppa Yanukia

SIYO stori kwamba ‘baby mama’ wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi...

READ MORE

Watu 21 Wauawa Katika Shambulizi la Makombora Kharkiv

Takriban watu 21 wameuawa na wengine 112 kujeruhiwa katika shambulio la makombora katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine,...

READ MORE

Mwijaku: Siiamini Ndoa Ya Diva

  MTANGAZAJI wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku amedai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa...

READ MORE