×

Adaiwa Kumuua Mama Yake Kisa Mali

ZIKIWA zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali,...

READ MORE

Kocha Simba: Nilijua Nitawafunga Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma, amefunguka kuwa kwa upande wake alikuwa anatambua ni lazima atawafunga wapinzani wake, Yanga...

READ MORE

Kapombe: Tunaitaka Fainali Mapinduzi

BEKI wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe, amefunguka kuwa wanataka kushinda mchezo wao wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi...

READ MORE

Radi Yaua Wanne Mbeya

WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya...

READ MORE

Baada ya Mwaka Mpya, Mbowe na Wenzake Warejea Tena Mahakamani

Mahakama kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi No 16, 2021 yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili...

READ MORE

Maua Ataja Sababu za Kuachana na Mzungu

Maua Sama alichagua muziki mbele ya penzi la mzungu ambaye alimtaka mwimbaji huyo aache muziki na ahamie nchini Italia ili...

READ MORE

#LIVE: Rais Samia Awaapisha Mawaziri Aliowateua

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wateule leo Januari 10, 2022, Ikulu –...

READ MORE

ECOWAS Yafunga Mipaka na Mali

VIONGOZI wa Afrika Magharibi wameiwekea Mali vikwazo baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kutangaza kuchelewesha kwa muda mrefu...

READ MORE

Live: Dabi Ya Kariakoo Yanukia Zanzibar, Pablo Atamba Kubeba Ubingwa | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Wasanii wa Kutazamwa Zaidi Bongo 2022

NI jambo la kawaida kuona kila mwaka wasanii wapya huingia kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva kisha kuanza kujitengenezea...

READ MORE

Chama Alivyowapa Presha Mashabiki Wa Simba, Ahmed Ally Atoa Majibu-Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na afisa habari mpya wa Simba, Ahmed Ally, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao ikiwemo...

READ MORE

Mpango Kumuwakilisha Rais Samia Mkutano wa SADC

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo tarehe 10 Januari 2022 anaondoka...

READ MORE

Kilimanjaro: Binti Adaiwa Kumuua Mama Yake Kwa Tamaa Ya Mali

Katika Manispaa ya Moshi binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Wendy amemuua mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambaye ni...

READ MORE

‘Vita Ya Kumrithi Ndugai’ Yaanza Ccm, Kibarua Kigumu Mawaziri Wapya | Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Kijembe cha Maua Sama kwa Nandy Na Zuchu

BAADA ya msanii Maua Sama kuposti kunako Mtandao wa Twitter kwa kuandika; “Kwani ikitokea hujaimba Amapiano unaweza kufutiwa cheti cha...

READ MORE

JB: Kuna Wema Mmoja Tu

KUNA Mwigizaji na director mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Steven almaarufu JB amemsifia mwigizaji na mlimbwende wa Tanzania, Wema Sepetu...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 NIT, Library Assistant

POST LIBRARY ASSLSTANT I – 2 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION EMPLOYER National Institute of Transport (NIT) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu, Januari 10, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 10, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Kiduku Apiga Chini Mapambano Mawili

BONDIA wa ngumi za kulipwa kutoka Tanzania, Twaha Rubaha ‘Twaha Kiduku’ amefunguka kuwa tangukuanza kwa mwaka huu amelazimika kukataa ofa...

READ MORE