×

Serikali Kuruhusu Biashara ya Usafirishaji Wanyamapori Nje ya Nchi

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori...

READ MORE

Feisal, Kocha Yanga Washinda Tuzo Kutoka TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania limebainisha kuwa sababu kubwaya kutoa tuzo kwa wale wanaofanya vizuri ni kuongeza morali kwa wachezaji, makocha...

READ MORE

Mbosso Anakimbiza Mwizi Kimya Kimya

NI miaka kadhaa sasa tangu mwamba huyu asajiliwe kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), lakini mambo anayoyafanya kimyakimya ni...

READ MORE

Gardner: Nasikia Mjukuu Wangu Baba ni Diamond

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Gardner G Habash ambaye ni baba mzazi wa msanii Malkia Karen amefunguka kuhusiana na mwanawe huyo. Pia...

READ MORE

Nape Ataka Deni la Taifa, Mikopo Awamu ya Tano Ichunguzwe – Video

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, ameitaka Serikali kufanya ukaguzi kuhusu Mikopo iliyokopwa na Serikali katika kipindi cha awamu ya...

READ MORE

Joto Laongezeka Tanzania, Kilimanjaro Ndio Usipime

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuongezeka kwa vipindi vya joto nchini Tanzania ambavyo vitaendelea hadi Desemba 2021...

READ MORE

Nafasi za Kazi Four Seasons Hotels and Resorts, Chef de Cuisine

We are looking for an Exec Sous or Chef de Cuisine level to assist our Exec Chef lead our local...

READ MORE

Kocha mpya Simba SC akabadhiwa faili la Yanga

BAADA ya kocha mpya, Mhispania, Pablo Franco kutambulishwa Jumamosi usiku, aliyekuwa kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Mnyarwanda, Thiery Hitimana...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne, Novemba 9, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 9, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

TIRA, BOT Wavutiwa na Huduma Mpya ya Bima Benki ya Exim

Dar es Salaam; Novemba 08, 2021: Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Nchini (TIRA) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Mjamzito Afariki kwa Ajali Akienda Kujifungua

MWANAMKE mmoja mjamzito amefariki dunia katika ajali ya kuogofya karibu na Hospitali ya Virgin kwenye barabara ya Kenol-Murang’a kaunti ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Binti Atupa Kitoto Kichanga cha Siku 1

MTOTO mchanga mwenye umri wa siku moja amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa kwenye kichaka na kufunikwa majani katika Kijiji...

READ MORE

Yanga Kutimkia Zanzibar

KUELEKEA kutimiza mwaka mmoja wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Hussein Mwinyi, Serikali hiyo imeialika Yanga kucheza...

READ MORE

Morrison Atuma Salamu Ligi Kuu

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa licha ya hali ngumu wanayokutana nayo mwanzoni mwa msimu huu, bado kikosi...

READ MORE

Hitimana Asuka Mipango ya Kuwashusha Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amewataka nyota wote wa kikosi hicho ambao hawana majukumu timu za taifa kuripoti kambini...

READ MORE

Mama Mzazi wa Hamza Azikwa, Ndugu Ataja Kilichomuua – Video

Mama mzazi wa kijana Hamza Mohammed aliyewashambulia na kuwaua askari wanne kwa risasi kisha na yeye kuuawa kwa kupigwa risasi...

READ MORE

Majonzi: Mwili wa Mlinzi Aliyedaiwa Kuuawa na Polisi Waagwa – Video

Siku chache baada ya mlinzi wa Kampuni Binafsi ya Speed Security Guard, Akilwa Emanuel Mbise kudaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye...

READ MORE

Moloko Ajipa Kazi ya Kumng’arisha Mayele

WINGA ya Yanga, Jesus Ducapel Moloko, amesema atahakikisha anaongeza juhudi katika kutengeneza nafasi kwa washambuliaji wao wakiongozwa na Fiston Mayele...

READ MORE

Mo afanya jambo Simba

BAADA ya Simba kuanza msimu huu kwa matokeo yasiyoridhisha, klabu hiyo imeamua kuunda kamati ya vigogo watatu ambao watakuwa maalum...

READ MORE