×

Pingamizi Jingine la Mbowe ‘Lauma Chuma’

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Joachim Tiganga ametoa uamuzi kuhusu Shahidi aliyejitambulisha kama askari H4323 DC Msemwa wa kituo...

READ MORE

Rais Samia: Tunaendelea Kujenga Nafasi za Ajira

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatakia kheri wanafunzi wote wanaoanza mitihani yao ya kumaliza kidato...

READ MORE

Rais Samia: Sina Shaka na JWTZ – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu hassan amesema amani tuliyonayo...

READ MORE

Ronaldo Hali Mbaya

Nyota Cristiano Ronaldo jana alishindwa kuisaidia Ureno kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia baada ya kuchapwa 2-1 nyumbani na...

READ MORE

Rasmi: Dean Smith Kocha Mpya Norwich City

Klabu ya Norwich City imemteua Dean Smith kuwa kocha mpya wa kikosi hicho baada ya kumtimua Daniel Farke Novemba 7...

READ MORE

Wizkid Amburuza Diamond Tuzo za MTVEMA

MSANII wa kimataifa kutoka pande za Nigeria, Wiz Kida ameshinda Kipengele cha BEST AFRICAN ACT (Msanii Bora wa Afrika) kwenye...

READ MORE

SGA Security Yadhamini Tamasha la Mpira wa Watoto

    KATIKA vipaji vya watoto Kampuni ya SGA Security ya hapa nchini imetangaza kukuza vipaji vya vijana wenye umri...

READ MORE

Hatimaye Mtoto wa Gadaffi Ajitosa Urais wa Libya

Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi, Seif al- Islam ametangaza rasmi nia yake ya kuwania...

READ MORE

Austria Yaanzisha ‘Lockdown’ kwa Wasiochanjwa

  TAKRIBAN watu milioni mbili ambao hawajachanjwa kikamilifu dhidi ya Covid-19 wamewekwa chini ya zuio la kutotoka nje nchini Austria...

READ MORE

Harmonize Atamba: Hakuna Msanii wa Kunifikia Bongo

SUPASTAA wa Bongo Fleva, namzungumzia CEO wa Konde Gang, Harmonize amewatolea uvivu wanaojaribu kumlinganisha yeye na wasanii wengine kwenye industry...

READ MORE

Kocha Mtunisia: Simba Isajili Kiungo Dirisha Dogo

ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu,...

READ MORE

Saido, Makambo Waibua Vita Nzito Yanga SC

UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha...

READ MORE

Live: Rais Samia Aongonza Ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 15 amekuwa Mgeni kwenye Ufunguzi wa...

READ MORE

Miito ya Bamba Tanzania Ndiyo Mchongo wa Mjini

RAHA ya soka lolote duniani ni makelele, iwe nje au ndani ya uwanja, watu wengi sana upenda na usikia raha...

READ MORE

Tshishimbi Achekelea Kurudi Bongo

NAHODHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amefunguka kuwa anafurahi kurudi Tanzania na kucheza soka kama...

READ MORE

Yanga Yamtema Kiungo Mghana

YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya...

READ MORE

NBC Yamwaga Zawadi Washindi wa ‘Vuna Zaidi Na NBC Shambani’

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dastan Kyobya  ameiomba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuangalia uwezekano wa kuongeza zaidi matawi...

READ MORE

Walezi wa Wana Wajengewe Sanamu

MUZIKI wa Bongo Fleva unatajwa kuongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini. Kupitia fani hii, vijana wengi wamejiajiri...

READ MORE

Tajiri Aandaa Kufuru Yanga

KATIKA kuelekea usajili wa dirisha la Januari, mwaka huu wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Wafungwa 68 Wauawa

Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil...

READ MORE