×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatano Novemba 3, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 3, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mastaa Hawa Watajwa Tuzo Kubwa Marekani

TUZO maarufu za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) 2021, hatimaye zimerejea tena zikiwa zimesheheni majina mastaa kadhaa wa kitanzania wanaofanya...

READ MORE

Yanga Yaipapasa Ruvu Shooting

DAKIKA 90, zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku Yanga wakifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 3-1, dhidi ya Ruvu...

READ MORE

Kocha Apigwa Risasi Katikati ya Mechi

WACHEZAJI walilazimika kukimbia dimbani wakati mashabiki wa Klabu ya Hurucan Las Heras walipokuwa wakicheza dhidi ya Ferro de General Pico...

READ MORE

Hizi Hapa Sifa za Kocha Mpya Simba

WAKATI majina mbalimbali ya makocha yakihusishwa kwenda kurithi nafasi ya Didier Gomes ndani ya Simba, mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza...

READ MORE

Fisi Aondoka na Kiganja cha Mtu

KIJANA Emmanuel Ndete (20), mkazi wa Kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa mpaka...

READ MORE

Mawakili wa Mbowe Wambana Shahidi wa Serikali

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Rais Samia Aeleza Mlima Kilimanjaro Ulivyopoteza Barafu “Hatujasalimika” – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameyataka mataifa makubwa yanayozalisha kiwango kikubwa cha hewa ya ukaa inayochafua mazingira, kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

Jengo JIipya la Kisasa la Mahakama Arusha Laanza Rasmi Leo Kutoa Huduma-Video

Jengo la Kituo jumuishi cha Haki ambalo ni jengo la Mahakama Mkoa Wa Arusha leo Limeanza Rasmi kutoa Huduma za...

READ MORE

Nyota Wanne Simba Kuwakosa Namungo Kesho -Video

MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kutokana na kuanza kwa mwendo wa kusuasa msimu...

READ MORE

Simba: Tunapitia Wakati Mgumu

KLABU ya Simba imekiri kuwa tangu Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza kikosi hicho kinapitia wakati mgumu kwani wanaheza kwa presha...

READ MORE

Rubani Gibuyi Hajaonekana Siku 15 Leo

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amesema leo zimetimia siku 15 huku Rubani Samwel Gibuyi akiwa hajaonekana tangu aruke...

READ MORE

Breaking: Antonio Conte Kocha Mpya Tottenham

Klabu ya soka ya Tottenham imemthibitisha Antonio Conte kuwa kocha wao mkuu baada ya kumtimua Nuno Espírito Santo. Conte mwenye...

READ MORE

Mwanasheria Tigo Atoa Ushahidi Kesi ya Kina Mbowe

Fredy Kapala shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhumza za ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 02, amehudhuria kwenye mkutano wa 26 wa nchi, mabadiliko ya tabia ya nchi unaofanyika...

READ MORE

Spika Ndugai Aagiza NIDA Waitwe na Kieleweke

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ameiagiza kamati ya mambo ya nje ya ulinzi na...

READ MORE

Makamanda Wa Polisi Walivyoimba Wimbo Wao-Video

Makamanda wa polisi mikoa yote nchini wamekutana jijini Arusha katika kikao kazi cha jeshi hilo na wadau mbali mbali katika...

READ MORE

Video Zikionyesha Sabaya Akipewa Mamilioni Benki Zatua Mahakamani

VIDEO sita zilizokuwa kwenye ‘flash’ zimepokewa mahakamani kama kielelezo cha ushahidi kwenye kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,...

READ MORE

Wabunge Wapya, AG Wala Kiapo Bungeni – Video

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Eliezer Feleshi amekula kiapo chake leo Jumanne mbele ya Spika wa Bunge Job Ndugai. Anakuwa...

READ MORE

Kaburi la Albino Lafukuliwa, Mabaki ya Mwili na Jeneza Vyachukuliwa

Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino,...

READ MORE