×

Mtoto Aliyefanya Mtihani Darasa la 7 Gerezani Afaulu kwa Daraja la Juu – Video

KIJANA Kunde Gambija Kilulu (15) ambaye anashikiliwa katika Gereza la Bariadi mkoani Simiyu alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni...

READ MORE

Afa kwa Kipigo, Ndugu Wasusia Maiti Kituo cha Polisi – Video

Maisha ya Akilwa Emanuel Mbise, mlinzi wa kampuni binafsi ya Speed Security Guard iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, yamekatishwa...

READ MORE

Samia Amaliza Sakata La Machinga, Mjadala Mzito Bungeni | Deni La Taifa Lapaa-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Mume Asimulia Jinsi Mkewe Alivyonyongwa Hadi Kufa- Video

Kijana wa kazi za nyumbani ‘house boy’ ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa, anadaiwa kutenda unyama mkubwa kwa kumuua bosi...

READ MORE

Mvua Songwe: Mmoja Afariki Dunia, Nyumba 40 Zabomolewa

Mtu mmoja mepoteza maisha na watatu kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa zilizonyesha kuanzia siku ya tarehe 2 hadi 3 Novemba,...

READ MORE

Mboni Masimba Apagawisha Bf Suma

Mrembo na pia mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba, Novemba 5, 2021  aliamsha wageni waalikwa kwenye viti vyao,...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Novemba 5, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 5, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

LSF na Mpango wa Uwezeshaji Wanawake Kutambua Haki Zao Kiuchumi

Mwaka 2018 LSF ilizindua mpango wake wa uwezeshaji wa wanawake waishio mijini ili wapate uelewa wa kisheria kuhusu masuala ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara Coco Beach, Aongea na Wafanyabiashara -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 4, 2021 amefanya ziara ya kutembelea eneo la...

READ MORE

Ibraah wa Harmonize Arudishwa Kwao

IKIWA ni takribani miezi miwili imesalia kuumaliza mwaka 2021, ambapo mara nyingi utaratibu wa wasanii wengi kote duniani katika kipindi...

READ MORE

NACTE Yafuta Matokeo ya Mtihani wa Diploma ya Utabibu

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), limeifuta matokeo ya mitihani ya Dimploma (NTA-Level 5) ya Utabibu iliofanyika kati...

READ MORE

Mwigulu: Tanzania ina Mabilionea 5,740

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5,740 wanomiliki asilimia 4.2 ya utajiri wa mabilionea...

READ MORE

Tory Lanez Huenda Akatupwa Jela

MWANAMUZIKI Tory Lanez huenda akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia ya kesi inayomkabili ya kumpiga...

READ MORE

Mapya Yaibuka Msoto wa Makambo Yanga

BAADA ya Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo kushindwa kuanza katika mchezo hata mmoja kikosini hapo msimu huu, kocha wa timu...

READ MORE

Harmonize: Msipoteze Bando Lenu Kunipigia Kura

  STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini Rajab Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi kutozitambua tuzo zinazoendelea hususani African Entertainment...

READ MORE

Wakili Afunguka Ugonjwa Unaomsumbua Sabaya

WAKILI namba mbili wa Mshitakiwa Lengai Ole Sabaya, Faudhia Mustapha ameieleza mahakama kuwa, jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao...

READ MORE

Nabi: Tulieni Yanga Bado Haijachanganya

BAADA ya Yanga kujikusanyia pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara Ujenzi Daraja La Tanzanite Dar – ( Picha +Video)

  Rais Samia Suluhu Hassan muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea Glasgow, Scotland leo Novemba 4, 2021 amefanya Ziara...

READ MORE

Vodacom Yazindua Msimu Mpya wa Tusua Mapene, Magari Manne Mapya Kutolewa

    DAR ES SALAAM. Vodacom Tanzania leo imezindua msimu mpya wa shindano lake la ‘Tusua Mapene’ kwa kipindi kitakachoishia...

READ MORE