×

Ukichelewesha Mjamzito Hospitali, Faini 50,000

MAMA mjamzito atakayechelewa kwenda hospitali hadi kufikia kujifungulia nyumbani na atakayechelewa kuanza kliniki zaidi ya miezi mitatu toka apate ujauzito...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mjumbe wa Waziri Mkuu wa Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan Jana OKtober 31,2021 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum...

READ MORE

Ndugai: Sheria Mbovu Zinanikera | Rugemalila Kudai Tril 61 | Front Page.

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Fetty Wap Mikononi mwa FBI

RAPA Willie Junior Maxwell II, maarufu kama Fetty Wap amekamatwa na Polisi wa FBI kwa tuhuma za dawa za kulevya....

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu, Novemba 01, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 31, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mastaa Waoga Mamilioni Yanga

KIMEELEWEKA! Unaweza kusema hivyo baada ya juzi Alhamisi kutoka na taarifa kwamba mastaa wa Yanga wamepanga kufanya mgomo kushinikiza malipo...

READ MORE

Kifo cha Nabii Katapila, Mazito Yaibuka – Video

KUFUATIA kifo cha mtumishi wa Mungu, Abraham Peter maarufu kama Nabii Nabii Abraham Peter maarufu kama Katapila, ambacho kimeibua utata...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Tazama Rais Samia Alivyowasili Scotland

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 31, 2021 amewasili Glasgow, Scotland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja...

READ MORE

Serikali Kuendelea Kuuboresha Mkoa Wa Dodoma – Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kuuboresha Mji...

READ MORE

Rais Samia Awasli Glasgow, Scotland

Rais Samia leo Oktoba 31, 2021 amewasli Glasgow, Scotland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa...

READ MORE

Meridian Bet, Lions Club Zasaidia Matibabu Kwa Walemavu

Waathirika 100 wenye ulemavu wa macho jijini Dar es Salaam, wamepatiwa huduma ya kupima, matibabu na vifaa tiba katika kambi...

READ MORE

Jux Alivyopiga Mamilioni

MKALI wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ anasema kuwa, biashara yake ya mavazi African Boy ilianza kwa mtaji wa shilingi...

READ MORE

Simba Kukiwasha na Coastal Union Uwanja wa Mkapa

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thiery amesema anategemea kuona ubora wa safu yake ya kiungo ikiongezeka kwa ajili ya...

READ MORE

“Handsome Boy” Apewa Kichapo Kikali Akidaiwa Kuiba Simu-Video

Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Ibrahim kutoka ilala jijini Dar es salam, amejikuta kwenye mikono ya raia wenye hasira...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi International Rescue Committee, Senior Grants Manager

        Background/IRC Summary:     The International Rescue Committee responds to the world’s worst humanitarian crises and helps...

READ MORE

Machinga Wapewa Siku 3 Kuondoka Katikati Ya Jiji-Video

Mkuu wa mkoa arusha John Mongela ametangaza siku 3 kwa wafanyabiashara machinga arusha kuondoka maeneo ya katikati ya jiji kuanzia...

READ MORE

Taliban Wataka Serikali Yao Kutambuliwa Kimataifa

KUNDI la Taliban Oktoba 30, 2021 wameomba Serikali yao kutambuliwa Kimataifa na kupewa misaada na Marekani na Mataifa mengine ya...

READ MORE