×

Muonekano Wa Kaburi la Bilionea Manga, Milioni 20 Zatumika-Video

Global Tv Imefunga Safari Hadi kijijini Mbuguni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha,Kuonyesha muonekano wa Ujenzi wa Kaburi la Marehemu Bilonea Mathias...

READ MORE

Waziri Mkuu Amsimamisha Kazi Afisa Mipango Liwale

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Bw. Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi...

READ MORE

Aliyekatwa Mkono 2015 Aomba Msaada

LEMI Luchumi mwenye ulemavu wa ngozi, ambaye alikuwa mkazi wa Mamba, Mlele mkoani Katavi na kuhama kijijini hapo baada ya...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi KLICL, Nurse

EMPLOYMENT OPPORTUNITY   KLICL intends to hire a qualified, energetic, dynamic and proactive Tanzanian to fill in the following vacant...

READ MORE

Wapinzani wa Simba CAF Waingiwa Mchecheto

KOCHA Mkuu wa Jwaneng Galaxy, Morena Ramoreboli, amesema wanatakiwa kufanya kazi nzito ili kuhakikisha wanaiondoa Simba katika michuano ya Ligi...

READ MORE

Fei Toto Aweka Rekodi Yanga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka rekodi ndani ya Yanga mara baada ya kufanikiwa kuiongoza timu hiyo kushinda...

READ MORE

Mashabiki Yanga Watangaziwa Neema, Stars Kufufua Matumaini Ugenini-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Familia Yatupiwa Vyombo Nje na Kukosa Makazi – Video

TUKIO la kustaajabisha limetokea eneo la Mji Mpya Kipawa jijini Dar ambapo familia ya Bw. Abiud imekumbwa na kadhia ya...

READ MORE

Fahamu Taratibu za Kubadilisha Umiliki wa Gari – Video

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto...

READ MORE

Mama na Wanaye Waambukizwa VVU -Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na mama anayeishi na ugonjwa wa Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10, lakini amechiwa mzigo mkubwa...

READ MORE

Sakho Awekwa Chini ya Uangalizi Simba SC

HUKU wakijiandaa na mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana, kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Senzo Ampa Mchongo Nabi

OFISA Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amefunguka kuwa licha ya baadhi ya mapungufu yanayoonekana kwenye kikosi cha timu yao,...

READ MORE

Kigogo Chadema Kortini kwa Kumwita IGP Gaidi-Video

  KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Shilingi Milioni 40 Kushindaniwa CRDB Bank Taifa Cup 2021

    Dar es Salaam 7 Oktoba 2021 – Timu 32 za mikoa za mpira wa kikapu zinatarajiwa kuchuana vikali...

READ MORE

Studio za Expanse Zimetoa Mchezo Mpya kuelekea G2E, Las Vegas

Baada ya mafanikio makubwa kupitia michezo ya Evoji na Titan Roullette, Studio za Expanse zimetoa mchezo mpya wa kasino ya...

READ MORE

Haya Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Oktoba 8, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 8, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kigogo Chadema Afikishwa Kortini kwa Tuhuma za Kumchafua IGP Sirro

Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Hashim Issa (63), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Mayele, Makambo Waahidi Mabao Yanga

BAADA ya kushindwa kufunga bao lolote katika michezo miwili waliyocheza ya ligi kuu mpaka sasa, mastaa wa Yanga, Heritier Makambo...

READ MORE

Davido Akacha Mazishi ya Mpiga Picha Wake

MSANII maarufu wa Muziki kutoka pande za Nigeria, David Adeleji Adeleke maarufu kama Davido ameingia kwenye headlines baada ya kutoonekana...

READ MORE