×

Nafasi Ya Kazi Alistair Group, Clearing & Forwarding Declaration Officer

  2. Qualifications:   Diploma/ Degree in Clearing and Forwarding or any related. A minimum of 3 years of experience...

READ MORE

NMB Yanogesha Mashindano ya Gofu  ya Lugalo

  Benki ya NMB imetoa Sh. 60 Milioni kwa ajili ya kudhamini Mashindano Maalumu ya mchezo wa Gofu ya Mkuu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Ambundo Ajipa Kazi Ngumu Yanga SC

WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo, amejipa kazi ngumu ndani ya kikosi hicho ikiwa ni pamoja na ile ya kuona timu...

READ MORE

IMF Yaipatia Tanzania Dola Milioni 567.3 Kwa Ajili Ya Uviko 19

DODOMA: Tarehe 8 Septemba, 2021: BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeridhia kutoa mkopo nafuu kwa...

READ MORE

Ziara Ya Katibu Mkuu Dkt. John Jingu Gereza Kuu La Isanga Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dodoma Akitokea Jijini Mwanza

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini...

READ MORE

Jux – Sina Neno (Official Audio)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux,  Septemba 8, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa Sina Neno. Kwa...

READ MORE

Serikali Kununua Ndege 5 za Mafunzo ya Urubani

SERIKALI imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha....

READ MORE

Shuga Sukari sehemu ya 7

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na...

READ MORE

Shigongo Ambana Waitara “Kuna Tatizo la Kivuko” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Kwenye Ajali King’ori Arusha

Watu watano wamefariki dunia kwenye ajali eneo la King’ori katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha leo Septemba 8, 2021...

READ MORE

Morocco Atoboa Siri Usajili wa Molinga

BAADA ya kukamilisha usajili wa straika mwenye mwili mkubwa, David Molinga, Kocha wa Namungo, Hemed Seleman Morocco, amesema mchezaji huyo...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa CCM Afanya Mazungumzo Na Zitto Kabwe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo  amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)...

READ MORE

Cholo Boy Afunguka Mazito “Maisha Yangu Mungu Anajua” – Video

  MCHEKESHAJI aliyeibuka hivi karibuni na ku trend kwenye mitandao ya kijamii, Cholo Boy, ametinga katika studio za Global Radio...

READ MORE

Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba Yake Isimalizike

Samason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake...

READ MORE

Wakazi Wote 644 Watarejea Nyumba Za Makazi Magomeni Kota – RC Makalla

MKUU Wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameipongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) kwa kusimamia vyema mradi wa...

READ MORE

Live: Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza Kikao

Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza mkutano wa nne kikao cha saba  leo, 08 Septemba 2021 

READ MORE

Nabi Anasa Siri za Wanigeria

TAYARI Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, amefichua kuwa amezinasa mbinu za wapinzani wao, Rivers United ya...

READ MORE

Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni,...

READ MORE