×

Video: Said Aliyetobolewa Macho na Scorpion Afunguka Mazito

  SAID aliyetobolewa macho na scorpion aeleza namna anavyoendelea , Jambo hili lilitokea mnamo 2016 mwezi wa tisa tar 6...

READ MORE

Kim Ashutumiwa Kuipigia Promo Sarafu ya Matapeli

SUPASTAA nchini Marekani, Kim Kardashian amekosolewa kwa kutangaza fedha ya kidigitali ambayo haijahalalishwa kwenye mtandao wake wa Instagram, na kiongozi...

READ MORE

Michael Williams Akutwa Amefariki Dunia

MUIGIZAJI maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani Michael Williams amefariki dunia. Nyota huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake usiku wa Septemba...

READ MORE

Wanaume Milioni 1.5 Kutahiriwa Kampeni ya HIV

MRADI wa kuwatahiri wanaume milioni 1.5 wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 49 uimeanzishwa nchini Sudan Kusini ili kupunguza...

READ MORE

Jasusi Mwanamke Apotea, Rais na Waziri Mkuu Watofautiana

KUPOTEA kwa Ikran Tahlil ambaye ni wakala wa Shirika la Kitaifa la Ujasusi na Usalama (Nisa) nchini Somalia mnamo Juni...

READ MORE

Coma Yamuua Adams wa PSG

MCHEZAJI wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams ambaye alikuwa akiugua ugonjwa wa coma (kupoteza fahamu na kuongea) kwa miaka...

READ MORE

Mama Ajifungua Mtoto Mzee, Madaktari Wafunguka

YAMKINI umepata kusikia mama aliyejifungua jiwe mkoani Mara katika Nchi ya Tanzania au mama aliyejifungua kiumbe wa ajabu na kusababisha...

READ MORE

Mtoto wa Gaddafi Achiwa Huru

Mtoto wa tatu wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ameachiwa huru kutoka jela ya mji mkuu wa Tripoli,...

READ MORE

Majina 31 Wachezaji wa Simba Yaliyotumwa CAF

KLABU ya Simba SC imewasilisha majina ya wachezaji 31 waliosajiliwa kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu wa 2021/2022...

READ MORE

Majina Wachezaji wa Yanga Yaliyotumwa CAF

KLABU ya Yanga SC imewasilisha majina ya wachezaji 28 waliosajiliwa kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu wa 2021/2022...

READ MORE

Jamaa Aliyekutwa na Damu Nyeupe Azua Gumzo

Köhler anafanya kazi katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Cologne nchini Ujerumani, amesema kisa kimoja cha kushanga ni pale ambapo...

READ MORE

Simba Day: Simba Kukipiga na TP Mazembe kwa Mkapa

  KATIKA kuadhimisha kilele cha Tamasha la Simba Day mwaka huu Klabu ya Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa Kimataifa wa...

READ MORE

Siku 10 Za Michezo Ya Kimataifa Kutamatika Wiki Hii

Safari ya siku 10 za michezo ya kimataifa zinamalizika wiki hii. Walioweza kukusanya pointi wamefanya hivyo, waliopoteza nafasi wamepoteza lakini...

READ MORE

Taifa Stars Mguu Sawa Kuivaa Madagascar

BAADA ya kumalizana na DR Congo kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa TP Mazembe, Septemba 2...

READ MORE

LIVE: NDUGAI ASHTUSHWA NA TOZO MPYA YA MAZAO |JAJI AJITOA KESI YA MBOWE | FRONT PAGE…

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Panga Lingine Linapita Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa panga lingine likapita kwa viongozi wa Yanga mara baada ya mchakato wa mabadiliko ya klabu kukamilika...

READ MORE

Simba SC Yavuna Bilioni 1.5 Kwenye Jezi

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mauzo ya jezi zao za msimu ujao wa 2021/22, yameandika historia mpya katika biashara...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Haya Mambo ya Kujiondolea Kizazi ni Kumjaribu Mungu

KATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye...

READ MORE