×

Kocha Simba Akomalia Tizi la Mabao ya Mbali

KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amesema kuwa moja kati ya programu ambayo anaitilia mkazo kwa sasa akiwa Morocco ni wachezaji...

READ MORE

Harmo; Visasi Siyo Sehemu ya Maisha

KONDE Boy Mjeshi kunako Bongo Flevani, Rajabu Abdul au Harmonize anasema kuwa, kulipa visasi kwa maadui zake siyo sehemu ya...

READ MORE

Mwanafyale Apigwa KO, Kabongo, Migwede Wafanya Maajabu (Picha +Video)

    BONDIA Danny Mwanafyale usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2021 ameshindwa kuonyesha uwezo wake mbele Joseph Mchapeni baada...

READ MORE

Yanga yatumia Mil 98 Kesi ya Morrison CAS

WAKATI jana Jumamosi ilitarajiwa kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) kutoa majibu ya kesi kati ya Klabu...

READ MORE

Tetemeko Laua Watu 304

WATU 304 wamefariki baada ya tetemeko  la ardhi lenye ukubwa wa 7.2 katika vipimo vya Ritcher jana Agosti 14, kugonga...

READ MORE

Justin Bieber Amshukuru Wizkid kwa Kumpa Kolabo

  Staa wa muziki Ulimwenguni @justinbieber amemshukuru @wizkidayo kwa kumpa nafasi ya kushirikiana nae kwenye wimbo wake wa #Essence Remix...

READ MORE

Madai Ya Diamond na Harmo Kutumia Dozi Kutanua Mwili

WASANII wengi, hasa wa Bongo Fleva wanaoshinda ‘gym’ kwa ajili ya kutafuta mbavu nene (six packs), wanadaiwa kutumia dozi maalum...

READ MORE

NMB Yatoa Misaada ya Mil. 20/- Kwa Shule Kimara, Sinza Magomeni

BenkiI ya NMB, kupitia Program ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), imetoa msaada wa viti na meza 150 kwa Shule Sekondari...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 15, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 15, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

‘Take Bite Out of Life’ ya Serengeti Lite Kuwabeba Vijana Wenye Vipaji, Uthubutu

      Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Lite, imezindua kampeni mpya na ya...

READ MORE

Ajali: DC Msando Ahamishiwa Muhimbili

Watu watano wamejeruhiwa katika akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando na Mkuu wa Wailaya ya Ulanga, Ngollo Malenya...

READ MORE

Mrembo Akutana na Babake kwa Mara ya Kwanza Kupitia Facebook

MREMBO Mkenya ameibua hisia mseto mitandaoni baada ya kusimulia namna alikutana na baba yake kwa mara ya kwanza kupitia Facebook....

READ MORE

Mzee Ajinasua Mikononi mwa Watekaji Baada ya Gari Lao Kupata Ajali

MZEE mmoja huko Maragua, kaunti ya Murang’a, alinusurika jaribio la utekaji nyara baada ya gari alilokuwa akisafirishiwa nalo kupata ajali...

READ MORE

Taharuki! Wakuta Jeneza Nje ya Nyumba

Wenyeji wa kijiji cha Karando wameingiwa na hofu baada ya kuamka asubuhi na kupata jeneza lililokuwa na kuku na rozari...

READ MORE

Muuguzi Feki Aiba Mtoto Hospitali

MAMA mmoja kutoka kijiji cha Esokota kaunti ya Kajiado anaishi kwa wasiwasi baada ya kuibiwa mtoto wake wa umri wa...

READ MORE

Simanzi! Ndugu Wawili wa Familia Moja Wauawa na Polisi

MAELFU ya waombolezaji wamekusanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kianjokoma kaunti ya Embu jana Ijumaa, Agosti 13, 2021...

READ MORE

Upinzani Waongoza Uchaguzi wa Rais Zambia

KIONGOZI wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema amechukua ushindi wa mapema. Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yanaonesha...

READ MORE

Rasmi: Simba Yatambulisha Jembe La Kazi

RASMI kikosi cha Simba leo kimemtambulisha Pape Ousmane Sakho raia wa Senegal mwenye miaka 24. Nyota huyo anakuwa ingizo jipya...

READ MORE

Breaking: Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Tanzania Waongezwa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amethibitisha kuwa vilabu vya Tanzania vitaruhusiwa kusajili wachezaji 12 kutoka nje...

READ MORE