×

Endesha Toyota RAV4 Katika Msimu Muu Mpya na betPawa

betPawa inatoa nafasi kwa wateja wote kuanza msimu mpya wa Ligi kuu ya  Uingereza wakiwa na gari mpya Mtanzania mmoja...

READ MORE

Kesi ya Ugaidi! Mbowe Aigeuzia Kibao Serikali

KIONGOZI wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Daktari Aliyeishiwa Nguvu Kwenye Mdahalo Afunguka Kilichotokea

DAKTARI aliyeishiwa nguvu wakati akitoa mada kwenye mdahalo Dk Sospeter Bulugu amefunguka na kusema alipatwa na tatizo la kushuka kwa...

READ MORE

Mwanafyale, Mchapeni Nusura Wazichape Kavukavu Msamvu

MABONDIA Danny Mwanafyale na Joseph Mchapeni nusura jana wazichape kavukavu kabla ya kupanda ulingoni leo Jumamosi kwenye pambano Face Off...

READ MORE

Tanzia: Dk. Massawe Afariki Dunia

Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Augustine Massawe amefariki dunia leo Agosti 13,...

READ MORE

Maafa Mafuriko China

MIJI mitano mikubwa katika jimbo la katikati mwa China, Hubei, imetangaza hali ya hatari baada ya mvua kubwa kukatiza huduma...

READ MORE

Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba

BAADA ya Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kuthibitisha timu hiyo kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka...

READ MORE

KALI KULIKO- Jipe Punguzo, Nunua Infinix Note 10, Hot 10, Hot 10Play au Hot 101

  Baadhi ya matukio yanayoendelea katika kipindi hiki cha kali kuliko. Niliandika awali kuhusu promosheni ya Infinix KALI KULIKO na...

READ MORE

Msimu Mpya, Vibe Jipya Ndani Ya EPL Na Laliga Wikiendi Hii

Baada ya kukaa miezi 3 bila soka la vilabu barani Ulaya, hatimaye Agosti 13,2021 imefika na viwanja vyote kuanza kurindima...

READ MORE

Steve Nyerere Awatolea Uvivu Viongozi Wanaopinga Chanjo “Wanaowashwa Watakunwa” – Video

MWENYEKITI wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao ambaye pia ni balozi wa kuhimiza Chanjo ya Corona, Msanii Stevene Mengere...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Tanzania Red Cross Society, Project Accountant

  The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by...

READ MORE

Metacha: Ilikuwa Lazima Niondoke Yanga

ALIYEKUWA mlinda Mlango wa Yanga, Metacha Mnata amefunguka kuwa ilikuwa ni lazima kuachana na kikosi hicho, kwa kuwa huo ndio...

READ MORE

Sabaya, Wenzake Kuanza Kujitetea Leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imesema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya (34) na wenzake...

READ MORE

Rasmi Chama Auzwa Berkane Ya Morocco

Klabu ya Simba imethibitisha kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco, Berkane RBS. Ofisa Habari wa...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Kusikilizwa Kwa njia ya ‘Video Conference’-Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameshindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Breaking News: CEO wa ASAS Afariki Dunia

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Nokia, IPRAN SLM Support Specialist

  About Nokia We create the critical networks and technologies to bring together the world’s intelligence, across businesses, cities, supply...

READ MORE

Live: Serikali Yatangaza Chanjo Kwa Wote,Tozo Miamala Kuna Jambo

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Chama Awashtua Mashabiki Kuibukia RS Berkane ya Morocco

 CLATOUS Chama kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho usiku wa kuamkia leo Agosti 13, 2021 ametajwa kujiunga na...

READ MORE

Manara Avuruga Mashabiki Unguja

BAADHI ya mashabiki wa mpira wa miguu Unguja wamesema msimu wa 2021-2022 wa Ligi Kuu Bara hautakuwa na msisimko mkubwa...

READ MORE