×

Rais Samia Akutana na Rais wa TLS na Majaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria...

READ MORE

Gazeti la Uhuru Lasimamishwa, Watatu Wasimamishwa Kazi – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametangaza kusitishwa kwa uchapaji wa gazeti linalomilikiwa na chama hicho, gazeti...

READ MORE

Mkurugenzi NIDA na Wenzake Wakutwa na Hatia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewakuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson...

READ MORE

Watu 24 Wafariki Baada ya Kula Mbolea

WATU 24 wa familia moja wamefariki baada ya kula chakula kinachoshukiwa kuwa na sumu kaskazini magharibi mwa Nigeria. Tukio hilo...

READ MORE

Watu Sita Mbaroni Sakata la Fumanizi na Kujeruhi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za...

READ MORE

Simbachawene: Magereza ya Tanzania Yanaendeshwa Kikoloni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Magereza ya Tanzania yana viashiria vya ukoloni na kwamba kuna safari ndefu...

READ MORE

Majibu ya Gigy Money Kuhusu Kurudiana na Mo Jay

MSANII Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na...

READ MORE

Gomes Ashusha Mbadala wa Chama Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes ameagiza haraka aletewe kiungo mchezeshaji wa kati mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi ‘asisti’...

READ MORE

Biashara United Yamaliza Biashara na Majembe ya Kazi

BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22....

READ MORE

CCM Yasikitishwa na Upotoshwaji wa Gazeti la Uhuru

Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na upotoshwaji mkubwa uliyofanywa na gazeti la Uhuru toleo Namba 24084 la leo Jumatano 11 Agosti,...

READ MORE

Ibenge Afunguka Dili la Kisinda Kutua Morocco

HATIMAYE Kocha wa RS Berkane ya nchini Morocco, Frolent Ibenge amefunguka juu ya dili la winga wa Yanga, Tuisila Kisinda...

READ MORE

Azam FC Mzigoni Leo

KIKOSI cha AZAM FC leo Jumatano, Agosti 11, 2021, itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Big Bullets ya...

READ MORE

PSG Bado Wanamuwinda Pogba

PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake. Kwa mujibu...

READ MORE

Waliomburuza Jamaa Kwenye Bodaboda Mpaka Kumuua Wakamatwa

JESHI la Polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kumshambulia na kumuua mtu mmoja aliyetuhumiwa kuiba pikipiki...

READ MORE

Bwalya Afungukia Ofa ya Waarabu

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Rally Bwalya amefunguka kuwa bado hajapewa taarifa yoyote ya kuhitajika na wababe wa soka...

READ MORE

Wababa Wanaonyonya Maziwa na Wake Zao Waonywa

WANAWAKE wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao...

READ MORE

Pluijm Afunguka Kuwapeleka Yanga FIFA

ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm amethibitisha kuwa kuna uwezekano mkubwa akaifungulia mashitaka klabu ya Yanga kwa...

READ MORE

Kanye West Anaendelea Kuwapiga Watu Hela

HUENDA Agosti 15, mwaka huu mashabiki wasiipate album mpya ya rapa maarufu duniani, Kanye West, #DONDA bali wajipange kwenda uwanjani...

READ MORE

Mbio za Watoto Rock City Marathon na Unilever Kutimua Vumbi Oktoba 24

      Kampuni ya Unilever Tanzania imekabidhi hundi yenye thamani Tsh milioni 20 kwa waandaaji wa mbio za Rock City...

READ MORE

Bandari Dar Yaweka Rekodi, Meli Yenye Magari 3743 Kutia Nanga

MAMLAKA ya Bandari Tanzania ( TPA) imeandika historia baada ya meli kubwa ya kubeba magari kutia nanga katika Bandari ya...

READ MORE