×

Breaking: Rais Samia Atoa Pole Kwa Wafanyabiasha wa Soko la Kariakoo

RAIS Samia leo Julai 11, 2021 ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala na Wafanyabiasha wa Soko...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku 7 Uchunguzi wa Moto Kariakoo (Picha +Video)

WAZIRI Mkuu Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la...

READ MORE

Daniel Chongolo Awataka Wana CCM Kuendelea Kuimarisha Chama

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo pamoja na wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa ...

READ MORE

Kiba Kageukia Nyimbo za Injili?

MWANAMUZIKI nyota nchini Tanzania, Ali Saleh Kiba au King Kiba ameachia kionjo cha wimbo wake mpya unaotarajiwa kuachiwa hivi karibuni....

READ MORE

TACAIDS Wafanya Semina Kwa Waandishi wa Habari

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS)wamefanya semina kubwa na waandishi wa habari wa nyombo vya habari nchini,kuhusiana na kuripoti habari...

READ MORE

Moto Kariakoo: Kamati Yaundwa Na Mkuu Wa Mkoa Dar -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa soko kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu...

READ MORE

Raja Casablanca Yatwaa Kombe la Shirikisho

KLABUya Raja Casablanca ya nchini Morocco, imetwaa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JS...

READ MORE

Maonesho ya 45 Sabasaba 2021: TANTRADE, Benki ya NBC Wawafunda Wajasiriamali

    Changamoto ya urasimishwaji wa biashara miongoni mwa wajasiriamali na wafanyabiashara wanaochipukia imetajwa kuwa moja ya kikwazo kikubwa kwa...

READ MORE

Zari Ammisi Diamond Platnumz

BAADA ya kuachana na bwana’ke mwingine aliyepewa jina la Dark Stallion (Farasi Mweusi), baby mama wa staa wa muziki barani...

READ MORE

Serikali Yashusha Tozo Kuingia Bandari ya Kanyara, Buchosa

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Mwita Waitara amesema kilio Cha Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric...

READ MORE

Sarpong, Moro out Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga rasmi imeachana na mastaa wake wawili Waghana, Lamine Moro na Michael Sarpong katika kuelekea msimu ujao.  ...

READ MORE

Argentina Yachukua Ubingwa Copa America

TIMU ya taifa ya Argentina imetwaa taji la Copa America baada ya ushindi wa bao 1-0 mbele ya Brazil katika...

READ MORE

Nafasiya kazi Norwegian Refugee Council, Logistics Team Leader

Job Description All NRC employees are expected to work in accordance with the organisation’s core values: dedication, innovation, inclusivity and...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

NMB Yaja na Utaratibu Mpya wa Kuweka Akiba ‘SPEND 2 SAVE’

Benki ya NMB imekuwa ya kwanza nchini kumuwezesha mteja kuweka akiba kila anapofanya miamala kwa kuzindua huduma maalum kwa ajili...

READ MORE

Yanga Mpya, Mtapigwa Sana!

KAMA mlikuwa mnadhani usajili wa Shabani Djuma ndio usajili pekee wa Yanga msimu huu basi mtakuwa mmejidanganya, unaambiwa Yanga itafanya...

READ MORE

Breaking: Soko la Kariakoo Laungua Moto

Breaking News: Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa, Soko Kuu la Kariakoo lililoko Ilala jijini Dar es salaam linawaka moto...

READ MORE

Simba Yalificha Jembe Jipya Dar

BAADA ya kumalizana na kipa wa Tanzania Prisons, Jeremiah Kisubi, inaelezwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umemficha kipa huyo...

READ MORE

Yanga Nyodo Tupu, Waipiga Kijembe Simba SC

YANGA ni kama imewapiga kijembe watani wao Simba, ni baada ya kutamka kuwa thamani ya klabu hiyo ni kuanzia Sh...

READ MORE

Watu 408 Wana Corona Tanzania, 284 Wanapumulia Mashine

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla...

READ MORE