×

Sabaya Atua Mahakamani na Jezi ya Wananchi – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza...

READ MORE

Binti wa Miaka 21 Akutwa na Meno ya Tembo – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limewakamata watu wawili (mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na mwanaume mwenye umri...

READ MORE

Beki Yanga Ataja Kitakachoiponza Simba SC

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amefichua kuwa kwa upande wao, hawana wasiwasi wa kuwafunga Simba katika mchezo...

READ MORE

Korea Kaskazini ipo Tayari Kumaliza Vita

DADA mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, Kim Yo-jong anasema taifa hilo lipo tayari  kuanza tena...

READ MORE

Mshtakiwa Kesi ya Mbowe Adai Kuning’inizwa na Polisi Kama Mshikaki

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imeanza kusikiliza mashahidi wa upande wa utetezi katika...

READ MORE

Gomes Aiandalia Sapraiz Yanga kwa Mkapa

KUELEKEA mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, utakopigwa kesho Jumamosi, benchi la ufundi la Simba chini ya...

READ MORE

Kesi Ndogo ya Mbowe… Jamhuri Yafunga Ushahidi Wake

Kutoka katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, shahidi wa nne kati...

READ MORE

Makalla Awataka Machinga Bunju Waondoke Juu ya Mitaro

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewataka wamachinga walioweka vibanda vyao juu ya mitaro katika eneo la...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Absa, Customer Experience Executive

    Job Summary   To provide specialist advice and support in order to ensure customer satisfaction and enhance the...

READ MORE

Watu Wasiojulikana Wavunja Mabanda ya Machinga Usiku – Video

  TAHARUKI ya aina yake imetokea maeneo ya Scania, Kata ya Kiwalani jijini Dar baada ya watu wasiojulikana kuvamia na...

READ MORE

Kuelekea Derby Kesho, Mo Atinga Mazoezini, Huku Matajiri 6 Wa Yanga Wakutana-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Mwandishi Gabriel Kandonga Afariki kwa Ajali – Video

Mwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Duniani

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Isabella Khair Hadid “Bellahadid” mwenye asiri ya Palestina na Dutch, anatajwa kuwa ndio mwanamke mrembo zaidi...

READ MORE

Msajili,Polisi Wabaini Tatizo Sheria Mikutano Ya Siasa/Machinga Dar Kaa La Moto-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah (Official Audio)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Tommy Flavour Ft Alikiba,  Septemba 23, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa Jah...

READ MORE

Johari: Wanaume Wanaonifuata Wanataka Niwe Mke wa Pili

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movies, Blandina Chagula (Johari) amefunguka sababu za yeye kutokuwa na mume mpaka sasa huku akianika kwamba...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 24, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 24, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Samia Alivyohutubia Mkutano wa UN – New York – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amegusia janga la UVIKO-19, mabadiliko ya tabia nchi na swala...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE