×

Makamu wa Rais Ashiriki Misa ya Kuwekwa Wakfu Askofu Msaidizi Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, leo Septemba 5, 2026, ameshiriki Adhimisho la Misa Takatifu...

READ MORE

Fahamu Kanisa la ajabu Barcelona, Ujenzi wake Wachukua Miaka 140

Ukiambiwa kuna kanisa ambalo ujenzi wake umechukua zaidi ya miaka 140 na bado haujakamilika, huenda ukashangaa. Lakini hali hiyo ipo...

READ MORE

TCL Yaipeleka Samsung Mahakamani kwa Matumizi ya Jina ‘Mini LED’

LOS ANGELES, Marekani: Kampuni ya teknolojia ya TCL imefungua kesi dhidi ya Samsung katika Mahakama ya Shirikisho jijini Los Angeles,...

READ MORE

Trump Atishia Kushambulia Eneo la Kimkakati la Pickaxe Mountain nchini Iran

WASHINGTON, Marekani — Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani inaweza kuishambulia Pickaxe Mountain, eneo la Iran lenye ngome kubwa...

READ MORE

Cardi B Atikisa Mitandao, Muonekano Wake Wawateka Mashabiki

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B usiku wa kuamkia leo Septemba 5, 2026 amewavutia mashabiki wake baada ya kushiriki picha...

READ MORE

Watuhumiwa wa Mauaji Wapigwa Risasi na Polisi, Wote Wawili Wafariki Hospitali – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea Agosti...

READ MORE

Tanzania Kupokea Uwenyeji wa Miss World 2027 Nchini Vietnam Leo

Tanzania leo, Septemba 5, 2026, inatarajiwa kukabidhiwa rasmi uwenyeji wa mashindano ya Miss World 2027, baada ya Naibu Waziri wa...

READ MORE

Shigongo Aongoza Timu ya Buchosa Kujifunza Siri ya Mapato Dodoma

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, Septemba 4, 2026 ameongoza jopo la madiwani na wataalamu kutoka Halmashauri ya Buchosa katika ziara...

READ MORE

Jason Derulo Aachia Wimbo Mpya “Let Me Be” Akishirikiana Na Qing Madi

Mwanamuziki maarufu wa Pop na R&B kutoka Marekani, Jason Derulo, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Let Me Be”, akiwa...

READ MORE

Fortune Frenzy Yaahidi Zawadi Ya Tsh. Milioni 3 Kwa Washindi 20

Mchezo umebadilika na safari ya kusaka bahati imepata moto kupitia Fortune Frenzy ya Meridianbet, ambapo zawadi nono zenye jumla ya...

READ MORE

Beyoncé Atimiza Miaka 45, Aangaza Safari Yake Na Watoto Wake

MWIMBAJI maarufu wa Marekani, Beyoncé,  Septemba 4, 2026, anatimiza miaka 45 huku akisherehekea safari yake ya maisha na familia yake,...

READ MORE

Massanza Apigwa Faini ya Mil 10, Bodi ya Ligi Yatembeza Faini Polisi na Geita Gold

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) Septemba 4, 2026 imetangaza adhabu mbalimbali dhidi ya klabu, viongozi na waamuzi kutokana na...

READ MORE

Wasusi 15,000 Wafaidika na Programu ya Loyalty ya Darling Hair

Wasusi mbalimbali nchini wameipongeza Kampuni ya Darling Hair kwa kuwawezesha kiuchumi na kuwakwamua kutoka kwenye umaskini kupitia programu yake maalumu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Katambi Aagiza Dudu Baya Akamatwe, Afikishwe Mbele ya Sheria

Dar es Salaam, Septemba 4, 2026 — Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Sita Katika Nafasi Mbalimbali – Video

Dar es Salaam, Septemba 4, 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi...

READ MORE

Tarehe Ya Diddy Kuachiwa Gerezani Yasogezwa Mbele Tena

Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, anatarajiwa kuachiwa huru Februari 5, 2028, baada ya tarehe yake ya kuachiwa...

READ MORE

Harmonize Afunguka Sababu ya Kutengana na Kajala kwa Miezi Mitatu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, amefunguka kuhusu uhusiano wake na Kajala Masanja, akisema kwa sasa wawili hao hawapo...

READ MORE

Liverpool Kuivaa Ipswich Leo, Presha Ya Ushindi Yaongezeka

Ligi ya EPL kupigwa tena leo kwa Mchezo kati ya Ipswich Town wakiwakaribisha Liverpool katika uwanja wa Portman Road, katika...

READ MORE

Nandy Amtambulisha Linah Kwenye lebo yake ya African Princess

CEO wa lebo ya muziki ya The African Princess, mwanamuziki Nandy, amemtambulisha rasmi mwanadada nguli wa muziki wa Bongo Flava,...

READ MORE