×

Rais Samia Akutana na Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 3 2021 Ikulu Dodoma amepokea ujumbe kutoka kwa...

READ MORE

Rwanda Yaahidi Kukuza Ushirikiano na Tanzania

SERIKALI ya Rwanda imesema ipo tayari kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania, hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali....

READ MORE

Hatima ya Seth na Rugemarila Yamsubiri DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, mazungumzo ya makubaliano (Plea bargain) ya kumaliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi...

READ MORE

Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo

KOCHAMsaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema pamoja na ugumu wanaokutana nao katika kusaka pointi kutokana na kukamiwa na wapinzani wao,...

READ MORE

Dogo Janja Atamani Baba’ke Angeshuhudia Penzi Lake

STAA wa Hip Hop kutoka Arusha, Dogo Janja amesema anatamani marehemu baba yake mzazi angekuwepo hai na kushuhudia jinsi alivyobarikiwa....

READ MORE

Beki AS Vita Akubali Kutua Yanga

HATIMAYE beki wa kulia wa AS Vita na timu ya Taifa ya DR Congo, Djuma Shabani, amefunguka kuwa yupo tayari...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasilisha Bajeti Mambo ya Nje

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (Mb), juzi aliwasilisha bungeni makadirio...

READ MORE

Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei

Nahodha John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of...

READ MORE

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Amnyonga Mwenzake

MWANAFUNZI  wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Iringa, Petronel Mwanisawa (22) amefariki dunia kwa kunyongwa na mpenzi wake....

READ MORE

Lukuvi Afuta Waraka Unaokataza Madiwani

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja  unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za...

READ MORE

Tanzia: Ismail Michuzi Afariki Dunia

  MWANAMUZIKI mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia leo asubuhi Juni 3,  katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar...

READ MORE

Mbunge Akiri Kutumia Bangi: Ina faida Nyingi – Video

  MBUNGE Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu amekiri kuwa akiwa na umri mdogo aliwahi kutumia majani na Mbegu za Bangi kama...

READ MORE

Homa ya Mafua ya Ndege Yaibuka China

RAIA mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya...

READ MORE

Vodacom Yashiriki Upandaji Miti Kuelekea Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani

Kampuni inayotoa huduma za simu ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma wameshirikiana kupanda mti katika eneo la...

READ MORE

Mbunge Aanika Sababu za Wanaume Kukosa Nguvu za Kiume – Video

Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala Amesema Tatizo la ukosefu wa lishe Bora kwa wanaume kukosa limekuwa...

READ MORE

Tabasamu: Nimetishiwa Kuuawa Walinipigia Simu – Video

MBUNGE wa Sengerema (CCM), Hamis Tabasamu amedai kutishiwa kuuawa na watu wasiowajua baada ya kuchangia bungeni kuwa kazi ya kuweka...

READ MORE

Mtoto wa Komba Ashushiwa Kipigo na Polisi, Chanzo Mkewe – Video

MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM) na mwimbaji maaarufu wa nyimbo za siasa nchini Tanzania, hayati Kapteni John...

READ MORE

Yanga Haijakata Tamaa ya Ubingwa

ZIKIWA zimesalia mechi tano kwa upande wa klabu ya Yanga ili kumaliza Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi wa klabu...

READ MORE

Mita za Maji za Malipo ya Kabla, Wateja Kuhamishiana Uniti za Maji

WIZARA ya Maji na Umwagiliaji inakusudia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla kwa ajili ya majaribio kati...

READ MORE

Manji Mikononi mwa Takukuru, Sababu Zatajwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imethibitisha kuwa inamshikilia mfanyabiashara Yusuph Manji kwa mahojiano. Manji, ambaye aliondoka nchini...

READ MORE