×

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 1, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 1, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Waziri wa Maliasili Atengua Uamuzi wa Kigwangala ‘Ulikuwa Kinyume na Sheria’

WIZARA ya Maliasili na Utalii imefunga rasmi mzozo uliodumu kwa miaka miwili juu ya eneo la uwindaji kando ya ziwa...

READ MORE

Masikini Nyumba za Yamoto, Miaka sita Baada Ya Kusabaratika

MASKINI! Unaambiwa mji haushiwi na mambo, ni bora mtu akunyime kula, lakini siyo ubuyu! MASHTAKA MAZITO Hivi karibuni ‘mahakama’ ya...

READ MORE

Lindi: Wairan 7 Waliokamatwa na Tani ya Madawa ya Kulevya Wafikishwa Kortini

Raia saba wa Iran akiwemo nahodha wa boti, Jan Miran (42) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi wakikabiliwa na...

READ MORE

Yanga Yaichapa Prisons, Yatinga Robo Fainali

GOLI pekee la mshambuliaji  Yacouba Songne dakika ya 54’ dhidi ya Tanzania Prisons limeipeleka Yanga kwenye hatua ya robo fainali...

READ MORE

Malkia wa Zulu Afariki Baada ya Kuchukua Majukumu ya Kifalme

Familia ya kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imetangaza kifo cha Malkia wake aliyekuwa anaongoza eneo hilo Shiyiwe Mantfombi Dlamini...

READ MORE

Msanii Harmonize Achora Tattoo ya Magufuli

CEO wa lebo ya Konde Music Wordwide na msanii Harmonize amechora ‘Tattoo’ ya picha ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Maandalizi ya Mei Mosi Kitaifa Mwanza Yakamilika – Video

Maandalizi kwa ajili ya sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zinazotarajiwa kufanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...

READ MORE

Vijana JKT Waliorejeshwa Nyumbani Watakiwa Kurudi Kambini

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge, amewarejesha katika mafunzo vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa...

READ MORE

Simba SC Kuvaana na Kaizer Chiefs Robo Fainali

Simba SC itacheza na timu ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini katika robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika....

READ MORE

Breaking: Baraza la Madiwani Lamkataa Mkurugenzi Mbozi

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Mbozi kwa pamoja limeazimia kutokuwa na imani na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Hanji Godigodi...

READ MORE

Chongolo Kumrithi Bashiru Ukatibu Mkuu wa CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempendekeza Daniel Godfrey Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho....

READ MORE

Kauli ya Kwanza ya Rais Samia Baada ya Kuwa Mwenyekiti wa CCM – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Mwenyekiti Chadema Atimkia CCM – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa...

READ MORE

Breaking: Nyalandu Atangaza Kurejea CCM Mbele ya Rais Samia -Video

ALIYEWAHI kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na Chama...

READ MORE

Prisons: Tutawapiga Yanga Kwenye Mshono

NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amewachimba mkwara wapinzani wao katika mchezo ujao wa Kombe la FA, Yanga,...

READ MORE

Nabi Aja na Mbinu Mpya za Ushindi

BAADA ya kuchezea kipigo cha kwanza katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Achaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura zote1,862, sawa na asilimia 100...

READ MORE

Waliokufa kwa Corona Brazil Wafikia 400,000

IDADI  ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Brazil imefikia watu 400,000 hadi jana katika wakati ambapo...

READ MORE

Bwalya: Tutafanya Maajabu Kimataifa… Droo Ya CAF Leo

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Larry Bwalya amesema kuwa timu hiyo ina nafasi kubwa ya kufanya maajabu katika Hatua ya Robo...

READ MORE