×

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 2, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 1, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

DC Ahojiwa na Polisi kwa Kutishia Kumuua Mbunge

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limeanza uchunguzi tuhuma za Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kuhusu kumtishia kumuua...

READ MORE

Sheikh Sharifu Majini Kufanya Dua Kumuombea Rais Samia Kesho

Sheikh Sharifu Majini ameandaa dua maalum ya kuiombea dunia pamoja na Rais wetu, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Jumapili May...

READ MORE

TANZIA – Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

MFANYABIASHARA mkubwa na bilionea wa Kitanzania, Haroon Zakaria amefariki dunia hii leo Mei 1, 2021. Zakaria ndio Mmiliki wa Makampuni...

READ MORE

VAN DIJK AREJEA, AANZA MATIZI LIVERPOOL

BEKI wa kati Virgil van Dijk ameanza kuwapa furaha mashabiki wa timu yake ya Liverpool baada ya kuweka video mtandaoni...

READ MORE

Rais Kenyatta Aondoa ‘Lockdown’ Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta  ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya...

READ MORE

Simba Kamili Gado Kuwavaa Kagera

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya...

READ MORE

Samia: Watumishi Darasa la 7 Waliositishiwa Ajira Walipwe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kulipa madeni yote inayodaiwa huku akiwaonya watumishi...

READ MORE

Rais Samia Apunguza Kodi ya Mishahara, Makato Bodi ya Mikopo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza wafanyakazi mbalimbali katika Kilele cha Sherehe za Siku...

READ MORE

Ajibu, Gadiel Bye Bye Simba

INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa ameueleza uongozi wa timu hiyo kuachana na kiungo mshambuliaji Ibrahim...

READ MORE

Muigizaji Maarufu wa Filamu Mzee Msiri Afariki Dunia

Muigizaji maarufu na mkongwe nchini Kenya aliyejizolea umaarufu zaidi katika kipindi cha runinga cha Pete akitumia jina la Mzee Msiri...

READ MORE

Rais Samia: Tutapandisha Mishahara Mwakani – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya wafanyakazi zaidi ya 85,000 elfu hadi...

READ MORE

Kajala: Sitaki Kumsikia Harmonize

KWA mara ya kwanza tangu apate msala mzito, staa mkubwa wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Mama Paula, ametema nyongo...

READ MORE

VIDEO​​​​​​​​​​​​​​​: RAIS SAMIA ASHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI, JIJINI MWANZA

RAIS Samia Suluhu Hassan, amepewa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ambayo kitaifa inafanyika katika...

READ MORE

Epl Na Laliga Kunogesha Wikiendi Hii

Baada ya purukushani za Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa. EPL na LaLiga kuendelea tena wikiendi hii. Msimu wa...

READ MORE

Afisa wa TAKUKURU Akamatwa kwa Kuomba Rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imamkamata mtumishi wa taasisi hiyo aitwaye Zainab Mohamed Jabir, kwa kosa la...

READ MORE

Serikali Yafunga Mtambo wa Bil 4.6 JKCI

Serikali imefunga mtambo wa kisasa wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 wa uchunguzi na matibabu ya moyo (Catheterization Laboratory –...

READ MORE

Katibu Mkuu Mpya CCM Aanza Kazi, Aongoza Kikao

KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, jana jioni Aprili 30, 2021 ameripoti ofisini na kuendesha kikao...

READ MORE

Rock ‘N’ Roll Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Forest Rock     Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi?. Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet...

READ MORE