×

Nandy Afanyiwa Hujuma Nzito

  PISI kali kunako muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’, anadaiwa kufanyiwa hujuma nzito, IJUMAA WIKIENDA lina kisanga...

READ MORE

Breaking: JPM Amteua Dkt. Bashiru Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

 Rais John Magufuli leo Februari 26, 2021 amemteua Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally kuwa Balozi, katibu mkuu kiongozi...

READ MORE

Mobeto Aungana na Sarah Kumkabili Kajala

MWANAMITINDO wa kimataifa na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, anadaiwa kuungana na aliyekuwa mke wa msanii mwenzake, Rajab Abdul...

READ MORE

Kocha Simba Aigeukia Yanga, Ligi Kuu na Kombe la FA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ameweka kando maandalizi ya mchezo unaofuatia wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

READ MORE

Polisi Waliomuua Prude Waachiliwa Bila Hukumu Marekani

POLISI waliosababisha kifo cha raia mwenye asili ya Kiafrika, Daniel Prude, ambaye alizuiliwa uchi katika Jiji la New York, Marekani...

READ MORE

Msami: Nili-date na Kajala, Hatukuchorana Tattoo

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Msami amefunka baadhi ya musiano yake ambayo aliwahi kuwa mojawapo yakiwa ni Kajala na...

READ MORE

Uncle Zumo Afunguka Kuongeza Mke wa Pili

MSANII wa vichekesho ‘Uncle Zumo’ leo Februari 26, akiwa kwenye shoo ya Bongo 255, inayoruka kupitia Radio namba moja ya...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 11

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE

Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye...

READ MORE

Usiku wa Vitasa, Kinawaka Kesho Kinesi

WASWAHILI wanasema usiku wa deni hauchelewi kwisha, Usiku wa Vitasa uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni leo Jumamosi unahitimishwa kwenye Uwanja...

READ MORE

‘Moto wa Ijumaa’ Wazidi Kushika Kasi

Moto wa gazeti la Ijumaa unazidi kutikisa kupitia Promosheni ya Chemshabongo yake ya msomaji wa gazeti hilo kujibu swali lililo...

READ MORE

Mbunge ‘Ajichanganya’, JPM Aagiza Uchunguzi wa Bil 19

  Rais wa Tanzania, John Magufuli ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza mkopo wa Sh19 bilioni...

READ MORE

Mbunge wa Temeke Aiomba Serikali Ilipe Sh bil 12 – Video

MBUNGE wa Temeke Dorothy Kilave ameiomba serikali kuisaidia wilaya hiyo kulipa deni la Sh 12.1 bilioni wanalodaiwa na benki ya...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) , Legal Officer

POST LEGAL OFFICER II – 1 POST POST CATEGORY(S) LEGAL EMPLOYER Petroleum Upstream Regulatory Authority(PURA) APPLICATION TIMELINE: 2021-02-17 2021-03-02 JOB...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Siku 7 Waziri Simbachawene – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amempa siku saba Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene,...

READ MORE

Gigy Money: Nikimpenda Namzalia Hapo Hapo – Video

  Ni headlines za msanii Gigy Money ambaye amefunguka kusema akimpenda mwanaume basi ana uwezo wa kumzalia hata kama akiwa...

READ MORE

IGP Sirro: Ukishika Bunduki, Aga Familia Yako – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, amewataka wale wote wanaofanya uhalifu kwa kutumia silaha kuhakikisha kabla hawajatoka...

READ MORE

Kocha Mpya Stars Awarejesha Yondani, Mkude – Video

 KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa  (Taifa Stars), Kim Poulsen, leo Ijumaa Februari 26, 2021, amewarejesha kikosini nyota Kelvin...

READ MORE

Saido Apona, Atimkia Burundi

STAA wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametolewa kwenye kikosi cha Yanga kitakachomenyana na Kengold FC kwenye mchezo wa michuano ya...

READ MORE

Chelsea Uso Kwa Uso na Man United Wikiendi Hii

Ligi Mbalimbali kuendelea Wikiendi hii. Hii ni fursa kwako mteja na mpenzi wa michezo ya kubashiri, kuweka mkeka wako kupitia...

READ MORE