×

Familia ya George Floyd Kulipwa Bilioni 63

Baraza la #Minneapolis limeidhinisha makubaliano ya kuilipa familia ya George Floyd kiasi cha dola milioni 27 (takriban Tsh. Bilioni 63)...

READ MORE

Simbachawene Atoa Siku 30 Kwa Jeshi la Magereza

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa siku 30 kwa Jeshi la Magereza kuhakikisha Gereza jipya la...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yashauri Askari Wahamishwe Uraiani

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama imeishauri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

READ MORE

Polisi Wamsaka Kigogo wa Twitter Kuzusha Hofu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam linamsaka mwanaharakati anayejiita jina la Kigogo katika mtandao wa Twitter....

READ MORE

Fundi Simu Akamatwa Kwa Kusambaza Uzushi ‘JPM Mgonjwa’

CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa...

READ MORE

Tonombe, Niyonzima Watimka Yanga SC

KIUNGO mkabaji Mkongomani Mukoko Tonombe na kiungo mkabaji Mnyarwanda Haruna Niyonzima wameondoka kwenye kambi ya timu hiyo na kurejea majumbani...

READ MORE

Kisa Kaze, Mabosi Yanga Wavamia Kambi

KATIKA kurejeshwa morali na kuwapa nguvu ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara, mabosi wa Yanga juzi Jumatano walivamia kambi ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumtumbukiza Mtoto Kwenye Jaba la Maji na Kumuua

  Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Tluay Shauri (46) mkazi wa kata ya Dareda kwa kosa la kumuiba ndani...

READ MORE

Gomes Kuwabadilishia Mbinu Al Merrikh

KOCHA wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa mchezo wao wa marudiano na Al Merrikh kuna haja ya kubadili kila kitu...

READ MORE

Dkt. Gwajima: Familia Jengeni Mazoea Ya Kufanya Mazoezi

  Familia zimetakiwa kujenga mazoea ya kufanya mazoezi ili Watoto waweze kuelewa umuhimu wa kufanya mazoezi wangali wadogo.   Rai...

READ MORE

Manara: Mechi Ya Al Merrikh Kupigwa Bila Mashabiki Dar – Video

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Al Merrikh,...

READ MORE

Rais wa Msumbiji Awafuta Kazi Wakuu wa Majeshi

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic...

READ MORE

Mbosso – Yalah (Official Music Video)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia...

READ MORE

Weusi Wafunguka Album Yao Ya Air Weusi – Video

 WANAMUZIKI wa Hip Hop wanaounda kundi la ‘WEUSI’ usiku wa Machi 12, 2021 wamefanya Listening Party ya Album yao...

READ MORE

Mwanahamisi wa Simba Queens Kwenda Morocco Leo

Leo Machi 13, 2021 Jumamosi nahodha na straika wa Simba Queens na Twiga Stars, Mwanahamis Omary anatarajia kusafiri kwenda nchini...

READ MORE

Kenya Yatoa Masharti Mapya Kupambana na Covid 19

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta jana Machi 12, ametangaza  kurefusha kwa muda wa siku 60 marufuku ya kutoka nje...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Letshego/ Faidika, IT Manager

Job Title: IT manager Reports To: Head of operations Purpose of the Job: Responsible and accountable for the smooth running...

READ MORE

Wakongwe Yanga Wampigia Debe Mwambusi

WACHEZAJI wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jemba Ulaya’ na Adolf Rishard wamesema kuwa kama klabu hiyo inataka mafanikio msimu...

READ MORE

Patrice Motsepe Rais Mpya Caf

BILIONEA wa Afrika Kusini, ambaye pia ni Mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, amechaguliwa bila kupingwa kuwa rais...

READ MORE