×

JPM Awaonya Wanahabari Kuhusu ‘Vigogo Kupukutika’ – Video

  RAIS  John Magufuli ametoa wito kwa vyombo vya habari kuripoti habari na matukio kwa weledi badala ya kuripoti taarifa...

READ MORE

JPM Aomba Ngoma ya Stamina Ft. Prof. Jay – Video

RAIS John Magufuli, ameufagilia na kuomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza...

READ MORE

Man U, Arsenal Mzigoni Europa Leo

MICHEZO ya hatua ya 32 bora ya Europa League, inatarajiwa kumalizika leo Alhamisi pale ambapo Manchester United na Arsenal zitakuwa...

READ MORE

Kumbilamoto Meya Mpya Jiji la Dar – Video

RAIS John Magufuli amesema Halmashauri ya Manispaa ya Ilala inastahili kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, na haijapendelewa...

READ MORE

Lwanga: Tutawafunga Tena Al Ahly Kwao

KIUNGO Mkabaji wa Simba, Mganda, Taddeo Lwanga, amewasifu wapinzani wao Al Ahly ya Misri huku akitamba kuchukua pointi tatu mara...

READ MORE

Kaze Abadili Gia Yanga Ligi Kuu, FA

KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinafanya vema kwenye Kombe la FA, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema haitaidharau timu...

READ MORE

Breaking: Mdee Huru Madai ya Lugha Chafu Dhidi ya Rais

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuacha huru Mbunge wa Viti Maalumu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Halima Mdee, baada...

READ MORE

JPM: Waliniambia Dkt. Bashiru ni CUF – Video

  Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli amesema wakati Katibu Mkuu wa chama...

READ MORE

Harmonize, Kajala Walivyoibuka Hafla ya CRDB Bank – Video

STAA wa Bongo Fleva na Balozi wa Benki ya CRDB, Harmonize, usiku wa kuamkia leo Frbruari 25, 2021 amefika katika ...

READ MORE

JPM Azindua Jitegemee House “Ufisadi Uliota Mizizi” – Video

  Rais Magufuli amezindua Jengo la Jitegemee (Jitegemee House) na Studio za Channel Ten Plus, Radio Magic FM na Radio...

READ MORE

Benki ya CRDB Yazindua App Mpya ya SimBanking – Video

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndungulile,  Februari 24, 2021, amezindua mfumo mpya wa Simu Banking wa Benki...

READ MORE

Bibi Aliyetelekezwa na Wanae Ashukuru, Aongea Machungu – Video

KIKONGWE wa kike aliyewahi kuripotiwa na Global TV hivi karibuni kutelekezwa na wanae, ametoa neno la shukurani kwa Wasamaria wema...

READ MORE

UEFA: Madrid Yaichapa Atalanta

Mlinzi wa kushoto wa Real Madrid, Ferland Mendy ameibuka shujaa baada ya kufunga bao pekee na la ushindi dhidi ya...

READ MORE

Binti Amuua Mpenzi Wake, Baba Yake Ajinyonga – Video

BINTI mmoja nchini Uganda amemuua mpenzi wake kwa kumkata kata mapanga akidai kuwa amesikia kuwa mpenzi wake huyo alikuwa muathirika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Februari 25, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 25, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mkutano wa 21 wa Wakuu Nchi EAC Kufanyika Feb 27

Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umepangwa kufanyika Jumamosi, 27 Februari, 2021 kwa njia...

READ MORE

Wanachuo wa SUA, Wasogezewa Tawi Jipya la Nmb

Benki ya NMB imeendelea kupanua wigo wake kwa kufungua tawi ‘NMB SUA’ katika Chuo Kikuu Cha Sokoine Mkoani Morogoro. Ufunguzi...

READ MORE

Breaking: Rais JPM Alivunja Jiji la Dar, Aipandisha Ilala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam...

READ MORE