×

IGP Akanusha Uzushi wa Traffic Kukusanya Mapato

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa si kweli kwamba Askari wa Usalama Barabarani, wanatoza faini...

READ MORE

Kocha na Msadizi Wake Gwambina Watimuliwa

BAADA ya kuipandisha timu ndani ya Ligi Kuu Bara na kuiongoza Gwambina kwenye jumla ya mechi 17 ikiwa nafasi ya...

READ MORE

 Straika Simba akubali kutua Coastal

MSHAMBULIAJI wa Simba, Charles Ilanfya, amesema kuwa hana pingamizi lolote iwapo uongozi wa klabu hiyo utaamua kumpeleka kwenye kikosi cha...

READ MORE

 Mkwasa aweka rekodi ya kibabe Ligi Kuu Bara

    KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa ‘Master’, ameweka rekodi ya kuwa kocha pekee mzawa aliyefanikiwa kukiongoza...

READ MORE

Liverpool Yapoteza EPL, Klopp Asisitiza Hana Wa Kumlaumu -Video

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hakuna wa kumlaumu kwa kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu England mbele...

READ MORE

Nafasi za Kazi 55 University of Dar es Salaam (UDSM)

Overview: The University of Dar es Salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on...

READ MORE

Nafasi za Kazi SITA Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)

The Tanzanian Broadcasting Corporation is a television network. It is Tanzania’s national network and is government-owned and operated. POST PRODUCER...

READ MORE

Sh Mil 150 Zampeleka Mkude Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuipata saini ya miaka miwili ya kiungo mkabaji wa...

READ MORE

Mtoto wa Nyerere Kuzikwa Kesho Pugu

  MWILI wa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, Rosemary Nyerere utazikwa kesho Jumatano, Januari 6, 2020 katika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kaze: Tutafunga Sana Mzunguko wa Pili

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anahitaji kuona kikosi chake kinafunga mabao mengi kwenye michezo yao ya mzunguko...

READ MORE

Morrison Haishiwi Vituko, Azunguka Posta kwa Miguu – Video

MCHEZAJI wa Simba, Benard Morrison, ameonekana akizurura mtaani mitaa ya Posta jijini Dar huku akiwa na begi, jambo ambalo limezua...

READ MORE

Jumla ya Mil 20 Zatolewa Promosheni ya NMB MastaBATA

    BENKI ya NMB, tayari imeshatumia jumla ya shilingi milioni 20 kwaajili ya washindi 200 wa droo za wiki...

READ MORE

Wanaswa Wakifuga ‘Kijiji’ cha Wenye Ulemavu na Kujitajirisha – Video

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ummy Ndeliananga, ameendelea na msako wa kuwatafuta vigogo wanaotumia watu wenye ulemavu kama biashara...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 5, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 5, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Chama, Luis Waipa Hofu FC Platinum

NORMAN Mapeza, Kocha Mkuu wa FC Platinum ya Zimbabwe, amesema kuwa anatambua uimara wa Simba upo kwenye safu ya kiungo...

READ MORE

Kajala Atoa Msimamo Kuolewa Tena!

  KAJALA Masanja wengi wao wanapenda kumuita ‘ ‘Kay’ wengine wanamuita boss lady, amewakata kilimilimi baadhi ya watu wanaosema kuwa...

READ MORE

Kagere Amkataa ‘Baba Yake’

MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa Rwanda, Meddie Kagere, ameibuka na kusema kuwa, yeye si Mtanzania na hamtambui mzee anayesema ni...

READ MORE

Diamond, Alikiba Wakutana Sound City

Moja ya majarida makubwa katika bara la Afrika na duniani kote Soundy City ambalo makao makuu yake yapo Marekani ingawa...

READ MORE