×

Meridian Bet Yaendelea Kutoa Msaada Kwa Jamii Na Kupokea Changamoto

Kampuni inayojihusisha na Mchezo wa kubahatisha ya Meridian Bet imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa walemavu wanaosali katika kanisa la...

READ MORE

Stars Yapambana Yachapwa 2-0 na Zambia CHAN

   HUKU Taifa Stars ikianza na wachezaji wengi ambao hawana uzoefu kwenye michuano ya kimataifa, jana ilichapwa mabao 2-0 na Zambia....

READ MORE

Esma Ampinga Mama Mondi

MAMBO ni mengi muda ni mchache! Sekeseke aliloliamsha Mama Dangote, Sanura Kassim ‘Sandra’ limechukua sura mpya baada ya dada wa...

READ MORE

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa...

READ MORE

Rais JPM Aitaka Wizara ya Madini Kutochelewesha Mradi wa Nikeli

RAIS Dkt John Magufuli amesema hatua ya kusainiwa kwa mradi wa uzalishaji madini ya Nikeli kati ya Serikali na kampuni...

READ MORE

Fiston Awapoteza Chama, Luis Bongo

LICHA ya kwamba mtambo mpya wa mabao wa Yanga, Fiston Abdoul Razak bado haujaja Bongo kwa ajili ya kuanza majukumu...

READ MORE

Yanga Yafungukia Ishu ya Kuachana na Sarpong

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado haujaachana na mshambuliaji wao, Michael Sarpong ambaye kwa sasa ameelekea nchini China kwa ajili...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 20, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 20, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

TPA Yasikiliza Kilio cha Shigongo na Wananchi wa Buchosa – Video

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Eng. Deusdedit Kakoko, kuna watumishi wachache wa bandari bado hawajabadilika ambapo wapo baadhi yao...

READ MORE

Kesi ya Mdee, bulaya na Wenzao 27 Mahakamani – Video

UPANDE wa Mashtaka katika kesi inayowakabili wabunge wa viti maalum akiwemo, Halima Mdee na Ester Bulaya na wafuasi 27 wa...

READ MORE

Taifa Stars yaivaa Zambia Kwa Tahadhari -Kikosi Kipo Hapa

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo Jumanne 19, 2021 itaikabili Zambia katika mchezo wa kwanza wa michuano ya...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuiba Dawa Ukerewe Watumbuliwa

WATUMISHI watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa vyombo vya maadili ya utumishi wa...

READ MORE

Live: JPM Anazindua Kiwanda Cha Maziwa Karagwe Kagera

 RAIS Dkt John Magufuli, leo Januari 19, amezindua kiwanda cha maziwa kilichopo wilayani Karagwe mkoani Kagera… ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Taifa Stars Kuwavaa Zambia Leo CHAN

KUELEKEA kwenye mchezo huo, kocha wa Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije amesema “maandalizi yameenda vizuri, wachezaji wapo sawa. Kuhusu korona...

READ MORE

Mvua Yasababisha Maafa Songea

Mvua mkubwa iliyoambatana na upepo imesababisha maafa ya kuezuliwa paa katika madarasa matano, ofisi mbili na stoo moja kwenye shule...

READ MORE

Alichokisema Diamond Kuhudu Sakata la Baba Yake – Video

KWA mara ya kwanza wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ametoa kauli baada ya mama yake mzazi, Bi Sandrah kusema kuwa...

READ MORE

Uganda Yaishutumu Marekani ‘Kuingilia Uchaguzi Wake’

Msemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, ameishutumu Marekani kwa kujaribu “kupindua matokeo ya uchaguzi”, kwa mujibu wa chombo cha...

READ MORE

Chikwende: Chama, Luis Wamenivuta Simba

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Perfect Tatenda Chikwende amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya atue ndani ya kikosi cha...

READ MORE

Mafunzo ya JKT 2020/2021 Yasitishwa

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesitisha kwa muda mafunzo ya kujitolea ya JKT kwa mwaka 2020/2021 yaliyokuwa yaanze hivi karibuni...

READ MORE