×

Mpinzani wa Rais Putin Mbaroni Baada ya Kutua Moscow

Kiongozi wa upinzani Urusi, Alexei Navalny alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Moscow wakati akijaribu kuingia nchini humo akitokea...

READ MORE

Corona: Abiria Kwenda Uingereza Wakataliwa Kupanda Ndege Marekani

  ABIRIA kutoka Marekani kwenda Uingereza wamekataliwa kupanda ndege leo (Jumatatu) baada ya matokeo ya vipimo vyao kuhusu ugonjwa wa...

READ MORE

Inatisha! Kijana Awaua Baba, Dada… Naye Auawa

MCHUNGAJI wa kanisa wilayani Nyamagana, jijini Mwanza na binti yake wameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu na mtoto wake wa kiume...

READ MORE

Nyota Watatu Watemwa Simba

UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na mpango wa kuwasajili nyota watatu waliokuwa wakifanya majaribio na timu hiyo kwenye michuano ya...

READ MORE

Chatu Awa Tishio Mabwepande, Wananchi Waiangukia Serikali

Wananchi wa eneo la Kitunda Mtaa wa Bunju B, Kata ya Mabwepande, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuwasaidia...

READ MORE

Achana na Kelele, Huu Ndio Ukweli Kuhusu Baba Mondi – Part 2

BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na wahariri wa Magazeti Pendwa (UDAKU) ya Global Publishers ambao...

READ MORE

JPM Afungua Shule ya Ihungo, Aonya Wanafunzi Kuendelea Kukaa Chini Dar – Video

RAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...

READ MORE

Wenyeviti Kamati 14 za Bunge Kujulikana Leo Dodoma

UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati...

READ MORE

Kuchimba Dawa! Madereva wa Mabasi, Wenye Hoteli Kitanzini

  “UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama kubwa...

READ MORE

Amuua Babu Yake Baada ya Kumuona Anateseka na Maradhi

Saidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE

Sangoma Asakwa Kusababisha Kifo cha Mwanaye Akimsafisha Nyota

POLISI  Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela...

READ MORE

Sekondari ya Ihungo Yaongozewa ‘Mzigo’ – Video

RAIS John Magufuli amewasili Mkoani Kagera na leo amezindua Shule ya Sekondari Ihungo ambayo imejengwa upya baada ya kuharibiwa na...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kubaka, Kumpa Ujauzito Binti Yake!

KIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na...

READ MORE

Maelfu Wazuiwa Guatemala Kuingia Marekani

MSAFARA wa wahamiaji kutoka Amerika Kusini uliokuwa ukielekea nchini Marekani umekutana na virungu na gesi za kutoa machozi nchini Guatemala,...

READ MORE

Kumbe Mkali Wenu ni Ticha!

MSANII wa vichekesho anayefanya poa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii, Jackson Supakila Miraji ‘Mkali Wenu’ amesema kuwa ukiachilia mbali...

READ MORE

Achana na Kelele, Huu Ndio Ukweli Kuhusu Baba Mondi – Part 1

BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na...

READ MORE

Simbachawene: Nitawafagia Askari Hawa!

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 18, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 18, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kisa Wafuasi wa Trump! Usalama Waimarishwa Bunge la Marekani

WAANDAMAJI nchini Marekani wamekusanyika nje ya majengo ya serikali kuunga mkono madai yasiyo ya msingi ya rais Donald Trump ya...

READ MORE