×

Jaji Apinga Maombi ya Pence Kuhusu Kuhesabiwa Kura

JAJI wa shirikisho nchini Marekani, jana (Ijumaa) alitupilia mbali maombi ya mjumbe wa Baraza la Congress kutoka chama cha Republican...

READ MORE

Familia ya Shigongo Wafanya Ibada Kuwaombea Wazazi Wao – Video

  MBUNGE  wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, na familia yake, leo Ijumaa, Januari Mosi, 2021, wamefanya ibada ya misa kuwaombea...

READ MORE

Membe Abwaga Manyaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho,...

READ MORE

Mtoto wa Mwalimu Nyerere Afariki Dunia

FAMILIA  ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imepata msiba wa mtoto wao Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar...

READ MORE

Chelsea Uso Kwa Uso Dhidi ya Manchester City

EPL inaendelea kutoa burudani kwa mashabiki wa soka duniani. Licha ya 2020 kuwa ni mwaka uliokumbwa na majanga yaliyoathiri michezo...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 2, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 2, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Funga Mwaka 2020… Mondi Kicheko, Kiba Maumivu

AMA kweli mwaka huu ulikuwa kicheko kwa msanii wa Bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi huku wasanii wenzie akiwamo...

READ MORE

Jay Melody; ‘Mchawi’ wa Nandy!

UKIAMBIWA utaje wasanii waliotoka kwenye Jumba la Vipaji Tanzania (THT), lililokuwa likiasisiwa na marehemu Ruge Mutahaba, huwezi funga hesabu bila...

READ MORE

Mchungaji Anyofolewa Sikio Kisa Kufumwa na Mume wa Muumini Wake

KATIKA kipindi cha sikukuu ya Krimasi kumetokea kisanga cha kipekee katika baa moja iliyopo mjini Embu jijini Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake...

READ MORE

Harmo Atamba na Wanawake wa Mondi

KAMA ilivyo kawaida yake kuibua mambo mazito ya kumfanya azungumziwe au ‘kutrendi’, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ameliibua...

READ MORE

Avunja Ndoa ya Miaka 24 Baada ya Kubambikiwa Watoto 3

TAFAKARI haya, baada ya miaka 24 ya ndoa, unagundua kuwa watoto watatu kati ya wanne ambao umekuwa ukiwalea pamoja na...

READ MORE

Jumbe Asimulia Alivyovunjwa Mguu na Kuku Ndotoni

UMEWAHI kusikia kisa cha mtu kuvunjwa mguu na kuku? Leo ukiambiwa mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe amevunjika...

READ MORE

Hemedy PHD ‘Kumuoa’ Uwoya

VUTA picha! Mtoto mzuri, Irene Uwoya anaolewa na handsome boy anayefanya Bongo Fleva ambaye pia ni muigizaji Hemed Suleiman ‘Hemedy...

READ MORE

Hospitali Ya Temeke Kuwa Na Vyumba Sita Vya Upasuaji

Ili kuhudumia wagonjwa wengi zaidi wa upasuaji, hospitali ya Temeke iko kwenye mkakati wa kujenga vyumba sita vya upasuaji (theater)....

READ MORE

Yanga Yawachinjia Baharini Ihefu FC

 UONGOZI wa Yanga kupitia kamati yake ya usajili, imewachinjia baharini mabosi wa Ihefu FC, kufuatia barua yao ya kumtaka mshambuliaji...

READ MORE

Mimi Mars: Vanessa Alikuwa na Kila Kitu Kwenye Muziki

UKIAMBIWA utaje listi ya warembo wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva, basi nina imani kubwa kuwa hautaacha kutaja jina la mwanadada...

READ MORE

Wananchi Wamshukuru Shigongo kwa Hili… – Video

  WANANCHI wa Kijiji cha Sukuma, Halmashauri ya Buchosa, wameeleza furaha yao baada ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vinane vya...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 6

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE