×

Benki Ya Stanbic Yawawezesha Wafanyakazi Wa Migodini Geita Kukua Kifedha

Suluhisho maalumu za kifedha kuwawezesha wahandisi, mafundi na wafanyakazi wa mgodi kujenga mali, kumiliki makazi na kulinda mustakabali wa familia...

READ MORE

Tanesco Yapiga Marufuku Wizi na Uharibifu wa Miundombinu ya Umeme

📌 Baadhi ya wateja wabainika kuchezea mita ili isisome matumizi halisi ya umeme. 📌 Watakaobainika kufanya vitendo hivyo kushtakiwa kwa...

READ MORE

Feitoto Aongeza Mkataba Mpya Azam FC Hadi Juni 2027

Klabu ya Azam Fc imetangaza kumsainisha kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo...

READ MORE

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutoka na Ex wa Mobetto

Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kelvin...

READ MORE

Makamu wa Rais Riek Machar Ashtakiwa kwa Ugaidi na Uhaini

Juba, Sudan Kusini – Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kufunguliwa mashtaka mazito dhidi ya Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek...

READ MORE

Dkt. Samia Awaomba Wananchi Kujitokeza kwa Wingi Oktoba 29 – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi na...

READ MORE

Meridian Bonanza Kuvunja Mipaka ya Kubashiri Kidijitali

Katika zama ambapo michezo ya kubahatisha inazidi kugeuka kuwa burudani ya kidijitali yenye msisimko wa hali ya juu, Meridian Bonanza...

READ MORE

Majaliwa Afungua Kongamano La Nne La Kitaifa La Ufuatiliaji Na Tathmini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Septemba 11, 2025 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la Nne la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 12, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mwanaharakati Charlie Kirk auawa kwa risasi chuoni Marekani

Mwanaharakati Charlie Kirk, mshirika wa karibu wa Rais wa Marekani Donald Trump na mwanzilishi wa Turning Point USA, ameuawa kwa...

READ MORE

Dkt. Samia Ahahidi Miradi Mikubwa ya Maendeleo Kaliua, Tabora

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza...

READ MORE

Tanzania Yazidi Kuvutia Watalii wa Marekani

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Alhamisi Septemba 11, 2025 amekutana na kuzungumza na Kaimu...

READ MORE

Video: Mahakama Yaamuru Mpina Arejeshe Fomu Tume Huru ya Uchaguzi

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imeamuru mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, aruhusiwe kuendelea na mchakato wa kurejesha fomu...

READ MORE

ODDS Zimeiva, Weka Dau Lako Bingwa wa FA CUP Uingereza

Huku timu kibao za Uingereza zikiendelea kutafakari nani atakuwa bingwa wa FA CUP msimu huu, tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania...

READ MORE

Jeshi La Nepal Lafanya Majadiliano na Waandamanaji Wadai Jaji Mkuu wa Zamani Aongoze Nchi

Jeshi la Nepal litaanza tena mazungumzo na waandamanaji wa “Gen Z” siku ya leo Alhamisi ili kuamua kiongozi mpya wa...

READ MORE

Hatma ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Kujulikana Jumatatu – Video

Hatima ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana Jumatatu,...

READ MORE

Kilombero Sugar Yaadhimisha Miaka 23 ya Kutoa Mafunzo Kwa Viongozi Kupitia Mkutano wa Programu ya MIT 2025

Morogoro, Septemba 11, 2025 – Kampuni ya Sukari Kilombero imefanya Mkutano wa programu ya Managers in Training (MIT) 2025, kusherehekea...

READ MORE

Siku Saba za Champions Clash Na Ushindani Ndani ya Meridianbet

Meridianbet imeizindua rasmi Champions Clash, kampeni ya kasino inayowasha moto kwa mashabiki wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania kwa muda...

READ MORE

Mgombea Mwenza Nchimbi: CCM Imedhamiria Kuboresha Elimu, Maji Na Miundombinu Katavi

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa endapo...

READ MORE

Israeli yatishia kuwaua viongozi wa Hamas waliosalia Qatar

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, ametishia kuwaua tena viongozi wa Hamas walioko nchini Qatar iwapo Doha haitawafukuza maafisa hao,...

READ MORE