×

Trump Asaini Mswada Mzito Kabla ya Kuondoka Madarakani

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, hatimaye ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900 unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa...

READ MORE

Waitara Atoa Wiki Mbili Ofisi ya Mkoa wa Geita Kufanya Ukaguzi Mradi Dampo la Taka Ngumu

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara ametoa wiki mbili kwa Ofisi ya...

READ MORE

Simba Yamsimamisha Jonas Mkude, Kisa Hiki Hapa!

Klabu ya Simba SC imetangaza kumsimamisha mchezaji wake Jonas Mkude kutokana na kukabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu ili...

READ MORE

Hawa Nd’o Watu 10 Matajiri Zaidi Kuwahi Kuishi Duniani

MWANZILISHI wa kampuni la  Amazon, Jeff Bezos, ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa sasa, kulingana na orodha ya jarida la...

READ MORE

Mwinyi Aunda Tume Kuchunguza Kuanguka Jengo la Maajabu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi ameunda Tume ya uchunguzi, kufuatia kuanguka kwa jengo...

READ MORE

Majaliwa Atua Ruangwa, Afanya Hili…

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  leo (Jumatatu, Desemba 28, 2020) amepokea vyumba 11 vya madarasa, ofisi mbili za walimu, samani na...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Mngereza (BASATA) Waagwa Dar

  MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mamilioni Kuikosa WhatsApp Ifikapo Januari Mosi, 2021

  WATUMIAJI wa  mawasiliano ya Whatsapp katika simu za  iPhone 4 au simu za zamani za Android hawataweza kutumia vyema huduma...

READ MORE

Fahamu Majengo 10 Marefu Zaidi Barani Afrika 2020

  HISTORIA ya majengo marefu zaidi barani Afrika ilianza mwaka 1973 kufuatia ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers mjini...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Igunga – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 28, 2020 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus...

READ MORE

Mwandishi Aliyeripoti ‘Ukweli’ wa Corona Afungwa Jela Miaka 4

    MWANDISHI wa habari wa China aliyekamatwa kwa ‘kuripoti ukweli’ kuhusu janga la ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona...

READ MORE

Kesi Wanaodaiwa Kuchana Noti 460,000 za BOT Yaahirishwa

KESI inayowakabili watu 13 wakiwemo watumishi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na wenzao watano imeshindwa kuendelea katika Mahakama...

READ MORE

Waziri Aipa TCRA Miezi 3 Kushughulikia Vifurushi kwa Wananchi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto...

READ MORE

Sekta ya Mawasiliano ya Simu Ilivyo na Tija Kwa Watanzania

Tanzania imepata bahati kubwa kuwa na sekta ya mawasiliano ya simu ambayo imekuwa ikipanuka kwa kasi kubwa siku hadi siku....

READ MORE

Mlinzi wa Bobi Wine Adaiwa Kufa kwa Kugongwa Gari la Jeshi

RIPOTI za vyombo vya habari nchini Uganda zimesema kuwa, baadhi ya mashahidi wameripoti kwamba mlinzi wa mgombea urais kupitia National...

READ MORE

Ozil Amfuata Ronaldo Juve

Klabu ya Arsenal imempa nafasi kiungo wake Mesut Ozil ya kujiunga na Juventus ya Italia kwenye dirisha dogo la usajili...

READ MORE

Davido, Burna Boy Wachapana Makonde Night Club – Video

MASTAA wawili wakubwa barani Afrika ambao wote ni raia wa Nigeria, Damini Ebunoluwa Ogulu ‘Burna Boy’ na mwenzake David Adedeji...

READ MORE

Wema wa Buguruni Amwaga Machozi “Nampenda Wema, Nikilala Namuota”

KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA‘ cha Global Radio, leo Desemba 28, imepiga stori na mwanadada anayejiita, Wema Sepetu wa Buguruni,...

READ MORE

Mwili wa Mngereza Wawasili Dar – Video

MWILI  wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam leo...

READ MORE