×

Al Nassr Kukutana na Al Diriyah Katika Saudi Pro League

Usiku wa maokoto unarejea kwa mchezo mkubwa kati ya Al Nassr ambapo   itakuwa mwenyeji wa Al Diriyah katika mchezo wa...

READ MORE

Familia ya Urassa Yakataa Ukoo wa Kweka Kufika Nyumbani Kwao Kuaga Mwili wa Jane – Video

HAI, KILIMANJARO: Familia ya Urassa imesema haitaruhusu watu wa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu Sinde,...

READ MORE

TPLB Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Viwanja vya Mazoezi Kabla ya Mechi

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya viwanja kwa ajili ya mazoezi ya timu siku moja...

READ MORE

Wazazi Wakamatwa Baada Ya Mtoto Wao wa Miezi Mitatu Kufariki

Wazazi wawili nchini Marekani wamekamatwa kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu,...

READ MORE

Maafa Ukraine: Watu 30 Wauawa Baada ya Mabasi ya Abiria Kushambuliwa

KRAMATORSK, UKRAINE: Zaidi ya watu 30 wameuawa na wengine 18 kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya Urusi kulenga mabasi mawili ya...

READ MORE

Morogoro Yatikiswa na Ajali Mbili Usiku Mmoja, Zaidi ya 30 Wadaiwa Kufa, Polisi Wafunguka – Video

Zaidi ya watu 30 wanadaiwa kufariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo, Oktoba 9, 2026, mkoani...

READ MORE

Jihan Atwaa Tuzo ya Global Beauties, Mashabiki Wamiminika Kumpongeza

Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack, amepokea pongezi kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Pageant...

READ MORE

Money In The Middle: Meridianbet Yafungua Ukurasa Mpya wa Burudani

Kuna michezo inayokuja na burudani ya kawaida, lakini kuna ile inayofanya kila sekunde iwe ya kusubiri kwa hamu. Sasa Meridianbet...

READ MORE

Vocha za Kukwangua Kusitishwa Januari 1, 2027, TCRA Yatoa Maelekezo Mapya

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kusitisha matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu...

READ MORE

Guinness Kulizungusha Kombe la Ligi Kuu ya England (EPL) Jijini Dar es Salaam

Dar es salaam leo imepokea moja ya kombe lenye mashabiki wengi zaidi wa soka duniani. Kupitia Guinness, Ndoo ya EPL...

READ MORE

Wizara Yapiga Marufuku Simba na Yanga Kufanya Mazoezi Uwanja wa Uhuru Kuelekea Dabi

Dar es Salaam. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Uwanja wa Uhuru upo tayari kwa ajili ya kuandaa...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Uamuzi wa Kesi ya Said Issa Dhidi ya Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi kuhusu maombi ya zuio katika kesi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 9, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Madawati 1,000 na Miradi mbalimbali kuboresha Elimu Kupitia Nyerere Cycling Tour 2026

Vodacom Tanzania Foundation imetoa madawati kwa Shule ya Msingi Makumbusho, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuboresha mazingira ya kujifunzia...

READ MORE

Puma Energy Yaleta Huduma Za Pris na Elite Card Karibu Zaidi Kwa Wateja

Kampuni ya Puma Energy Tanzania inaendelea kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia programu yake ya uaminifu kwa wateja ya PRIS na...

READ MORE

Chivayo na Mkewe Wazikwa Makaburi ya Glen Forest Park Harare, Zimbabwe

Aliyekuwa mfanyabiashara na mfadhili wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, pamoja na mkewe, Lucy “Lulu” Muteke, wamezikwa katika Makaburi ya Sahwira Glen...

READ MORE

Anayedaiwa Kuuawa kwa Risasi na Mumewe Aagwa Mbezi Beach Dar, Kuzikwa Kesho Moshi -Video

Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili...

READ MORE

Eswatini Yaungana na Familia ya Chivayo Katika Mazishi – Picha

Ujumbe kutoka Eswatini umeungana na familia, ndugu, marafiki na waombolezaji katika shughuli za mazishi ya mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mkewe,...

READ MORE

Polisi Yaweka Ulinzi Mkali Kuelekea Dabi ya Simba na Yanga – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema hali ya usalama jijini humo ni shwari, huku likitangaza kuimarisha...

READ MORE

Mwigizaji Nana Patekar Afariki Dunia Akiwa Na Miaka 75

Mwigizaji mkongwe wa India, Nana Patekar, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kupata mshtuko wa moyo...

READ MORE