×

Breaking: CCM Yaibuka Kidedea Arusha Mjini – Video

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kata 24 kati ya 25 za udiwani...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mgombea Ubunge, Makamba Akamatwa na Polisi

POLISI mkoani Shinyanga wanamshikilia mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Salome Makamba, kwa tuhuma za kufanya...

READ MORE

Breaking: CCM Yashinda Ubunge Moshi Mjini kwa Mara ya Kwanza Tangu 1995

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Moshi Mjini, amemtangaza Priscus Tarimo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Mzee Yussuf Ajitolea Kumfundisha Qur’an Ben Pol

MKALI wa muziki wa Taarab hapa nchini, Mzee Yussuf, amempongeza msanii Ben Pol kwa uamuzi wa kubadilisha dini na kuwa...

READ MORE

CCM Yashinda Viti Vyote Udiwani Sengerema, Tarime Mjini

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda viti vyote 47 vya udiwani katika majimbo ya Sengerema na Buchosa wilayani Sengerema.   Pia...

READ MORE

Man United Chelsea Zatakata Uefa

KIVUMBI cha Uefa Champions League kimeendelea jana usiku na kushuhudia timu vigogo za Manchester United, Barcelona PSG na Chelsea zikiibuka...

READ MORE

Dkt. Tulia Ambwaga Sugu Mbeya Mjini – Video

  MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya ubunge...

READ MORE

Thea Amkana Mike Kweupe

KWENYE orodha ya wakongwe wa filamu Bongo ambao wanaipeperusha vizuri bendera ya Tanzania, kuna majina ambayo ni vigumu kuyaacha. Miongoni...

READ MORE

Mbowe Ashindwa Ubunge Hai, Mafuwe Kidedea

Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Saashisha Mafuwe, ameibuka mshindi katika Jimbo la Hai katika uchaguzi uliofanyika jana Jumatano,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 29, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Barrick: Kampuni ya Twiga ni ‘Ushirikiano wa Ushindi

  MTENDAJI Mkuu wa kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow, ushirikiano uliopo katika kampuni ya Twiga Minerals Corporation baina yake...

READ MORE

Mama Apata Mshtuko Ben Pol Kubadili Dini

SIKU moja baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ kuposti picha kwenye ukurasa wake wa...

READ MORE

Wema, Carlinhos Imeisha Hiyo!

I MEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kufahamika kwamba, picha za kimahaba zinazosambaa za staa wa sinema za Kibongo,...

READ MORE

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani

MAPYA yameibuka na kila mtu anasema lake hasa upande wa mahasimu wake, lakini kubwa ni kuibuliwa kwa skendo nyingine matata...

READ MORE

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole

ALIYEKUWA mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, hataki kubishana na mwanamke...

READ MORE

Sababu Hii…Morrison nje Simba vs Yanga SC

NYOTA wa Simba, Bernard Morrison huenda ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaoihusu timu yake ya zamani ya Yanga unaotarajiwa...

READ MORE

GSM Yamtengea Mamilioni ya Usajili Kaze

BAADA ya usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza uongozi wa Yanga umesema kuwa upo tayari kufanya usajili...

READ MORE

Dayna Ajipakulia Minyama ya Umalkia

  SEXY lady kunako Bongo Flevani, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amejipakulia minyama kama yote, akidai kuwa hata akikaa nje ya gemu,...

READ MORE

NEC Yakanusha Kura Feki Kukamatwa Kawe, Pangani na Kigoma _ Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha uzushi unaoenea mitandaoni ukisambazwa na baadhi ya watu wakidai uwepo wa kura feki...

READ MORE