MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Buchosa, Crispin Luanda, leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva nchini, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea...
READ MOREMSIMAMIZI wa uchaguzi jimbo la Sengerema, Magesa Mafuru, leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis...
READ MOREMWAMUZI Shomari Lawi leo Oktoba 29, 2020 amefungiwa miezi 12 kwa kushindwa kuumudu mchezo namba 50 wa Tanzania Prisons FC...
READ MOREMSIMAMIZI wa uchaguzi wa Jimbo la Rombo, Godwin Chacha, amemtangaza Profes Adolf Mkenda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi...
READ MOREMSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
READ MOREMchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi...
READ MOREMGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametangaza kutokubali matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020....
READ MOREAliyekuwa mbunge wa jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kushindwa na mshindani wake, Michael...
READ MOREKlabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kwa umma kuwa kwa makubaliano ya pande zote mbili imeachana rasmi ba kocha...
READ MOREMFANYABIASHARA Faiza Ally amempa moyo na kumuunga mkono aliyekuwa mpenzi wake wa zamani na baba mtoto wake, Joseph Mbilinyi ‘Mr...
READ MOREMSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Tarime Vijijini amemtangaza Mwita Waitara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa ubunge...
READ MOREShamsia Mtamba kupitia CUF, ametangazwa ameshinda jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kuibuka kidedea kwa kura 26,262, dhidi ya mpinzani...
READ MOREHASSAN SELEMAN wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama...
READ MOREMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga amemtangaza Patrobas Katambi wa CCM kuwa Mshindi wa kiti cha Ubunge...
READ MOREMSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara, amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
READ MOREMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo...
READ MOREMSIMAMIZI wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Philip Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa...
READ MOREMSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kata 24 kati ya 25 za udiwani...
READ MORE