×

ACT Wazalendo yapinga kuondolewa kwa Mgombea wao wa Urais

Chama cha ACT Wazalendo kimepinga vikali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wao wa Urais,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 28, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Siri Yangu Ya Kuvutia Wateja Hadi Dukani Kwangu, Sasa Biashara Imekuwa Tajiriba Kubwa

Ninaishi mjini Nakuru, na kwa muda mrefu nimekuwa nikijishughulisha na biashara ya kuuza nguo. Nilianza na kibanda kidogo soko kuu,...

READ MORE

NCBA Bank Launches “Numbers That Matter – Maisha Ni Hesabu” Campaign in Tanzania

NCBA Bank has officially unveiled its new brand campaign, “Numbers That Matter – Maisha Ni Hesabu”, signaling a renewed commitment...

READ MORE

Kilombero Sugar Yazindua Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA Mashuleni

Morogoro, 28 Agosti: Kampuni ya Sukari Kilombero imezindua rasmi Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA Mashuleni, mradi unaoendeshwa na jamii unaoongozwa...

READ MORE

Puma Energy Tanzania Yashauri SOEs Kuboresha Utendaji Na Huduma

Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma M. Abdallah, aliwasilisha mada kwa Wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi Wakuu wa...

READ MORE

Usambara Research Training & Consultancy Yavitaka Vyuo Vikuu Kuwatumia Kwenye Tafiti

KAMPUNI ya Usambara Research  Training & Consultancy inayojishughulisha na masuala ya Utafiti  Mafunzo na Ushauri wa Kitaalamu imevishauri Vyuo Vikuu...

READ MORE

Tandika Jamvi Lako Mechi za Leo na Meridianbet

Jumatano ya Maokoto imewadia timu kibao zipo dimbani kuhakikisha huondoki patupu. ODDS za kibabe zipo Meridianbet sasa suka jamvi lako...

READ MORE

Jinsi Ya Kukwepa Kurubuniwa na Kumsaliti Mpenzi Wako.. Wanaume/Wanawake Soma Hapa

WAPO watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na...

READ MORE

Mama Aliyeugua Miaka Mingi Sasa Amepona

Saida alikuwa mama mwenye nguvu sana kijijini kwao. Lakini miaka zaidi ya kumi aliteseka na maradhi yasiyoelezeka. Mwili wake ulikuwa...

READ MORE

ACT-Wazalendo Yapinga Uteuzi wa Mpina Kutenguliwa na Msajili

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema haitafuata maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambayo yamebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais...

READ MORE

Absa Bank Tanzania Yasisitiza Dhamira Yake Kuendeleza Ukuaji Wa Uchumi Halisi Nchini Tanzania

Benki ya  Absa Tanzania imeahidi kuendeleza dhamira yake katika kusaidia ukuaji wa uchumi halisi nchini Tanzania, wakati ikizungumzia udhamini wake...

READ MORE

Stanbic Bank Yaahidi Ushirikiano Na Serikali Kuelekea Dira Ya Maendeleo 2050

Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango (mbele kulia) akimsikiliza  Mkuu wa Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya Stanbic...

READ MORE

Msajili Abatilisha Uteuzi wa Luhaga Mpina Kugombea Urais Kupitia ACT-Wazalendo

Dar es Salaam, Agosti 26, 2025 – Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

TLS Yaomba Mazungumzo ya Dharura na Rais Samia Kuhusu Uchaguzi 2025

Dar es Salaam, Agosti 26, 2025 – Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeomba kwa dharura kukutana na Rais wa Jamhuri...

READ MORE

CCM Yatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu ya Dk. Hussein Mwinyi

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea nafasi...

READ MORE

Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG

Dar-es-Salaam, Agosti,26,2025, Vodacom Tanzania imezindua Ripoti ya ESG ambayo inalenga utekelezaji wa teknolojia ya Kidigitali kufika Dira 2050. Akizungumza wakati...

READ MORE

Serikali Yataka Mashirika ya Umma Kuiga Sekta Binafsi Kuongeza Ufanisi

Arusha. Serikali imeyataka mashirika ya Umma kujifunza kutoka kwa sekta binafsi kuhusu namna bora ya kuendesha taasisi na hivyo kuongeza...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha CPA Amos Makalla Kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Dodoma, Agosti 26, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha CPA Amos Gabriel...

READ MORE

Wekundu wa Msimbazi Wasogeza Tarehe ya Hafla ya Jezi Mpya

Klabu ya Simba SC imetangaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa 2025/26....

READ MORE