×

Mashirika ya Umma Yatambuliwa Kwa Ufanisi

Arusha. Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina...

READ MORE

Yanga Yazindua Jezi Mpya Msimu wa 2025/2026 – Picha zipo Hapa

Klabu ya Yanga imezindua rasmi jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa mashindano wa 2025/2026. Jezi mpya zimebeba mchanganyiko...

READ MORE

Nafasi 29 za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya – Deadline 24 Agosti 2025

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilianzishwa kutokana na mabadiliko ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST)...

READ MORE

Hii hapa orodha kamili waliopenya ubunge, uwakilishi CCM

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imetangaza majina ya mwisho ya wagombea ubunge na wawakilishi kupitia chama...

READ MORE

Rais Samia Amteua Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Kihongosi Ateuliwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Kenan Kihongosi, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuwa Katibu wa...

READ MORE

Watano kati ya 19 waliokuwa wabunge Chadema wateuliwa CCM

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imewateua miongoni mwa waliokuwa wabunge 19 wa Chadema kuwania ubunge katika...

READ MORE

Global Education Link na TTB Washirikiana Kuwapa Vijana Ujuzi wa Kuitangaza Tanzania Kimataifa

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) inatarajia kusafirisha wanafunzi zaidi ya 1,000 kwenda kusoma kozi mbalimbali...

READ MORE

Dk. Asha-Rose Migiro Ateuliwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imemteua Dk. Asha-Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu mpya wa chama hicho,...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Hosts Minister of Industry and Trade

Dar es Salaam, Tanzania, Sunday 24 August 2025 – Coca-Cola Kwanza Ltd proudly hosted the Minister of Industry and Trade,...

READ MORE

Huyu Ndiye Damon Dash (77 Dash) na Sifa Zale Lukuki

Jina la Damon Dash, maarufu kama 77 Dash, si geni katika tasnia ya muziki wa Tanzania, alianza kujizolea umaarufu kuanzia...

READ MORE

Kamshange: Sauti Jasiri ya Kizazi Kipya

Katika mitaa yenye shamrashamra ya Jiji la Dar es Salaam na kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii yanayoendelea kushika kasi...

READ MORE

TRAMPA Yaonesha Matendo ya Huruma kwa Wagonjwa wa Kansa Ocean Road

  Dar es Salaam, 23 Agosti 2025: Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika kuelekea Mkutano wao...

READ MORE

INEC Yakanusha Madaiwa ya Mfumo wa Uchaguzi Kuunganishwa na NIDA

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha madai kwamba mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na NIDA au chama cha...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Dodoma, Agosti 23, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Bundesliga, Serie A, EPL na LaLiga Zote Zipo Meridianbet siku ya leo

ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet siku ya leo, tandika jamvi lako la uhakika leo kwani EPL,...

READ MORE

Wawili Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Songwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha tukio la mauaji ya raia wawili wanaosemekana kuwa ni kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Playson Short Races, Ibuka Bingwa Uondoka Na Hadi TZS Bilioni 6

Meridianbet inazidi kuupa moto ulimwengu wa kasino mtandaoni kwa kuwaletea mashabiki Playson Short Races mashindano ya kasi yanayowapa wachezaji nafasi...

READ MORE

Rais Samia Amtembelea Dr. Mabodi Hospitalini Dodoma

Dodoma, Agosti 22, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

Taifa Stars Yaaga Chan 2024 Baada Ya Kupigwa Na Morocco

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeondolewa kwenye michuano ya CHAN 2024 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi...

READ MORE