×

Jaqueline Mengi Aeleza Siri Ya Umiss Kupoteza Umaarufu

WAKATI mashindano ya urembo nchini yakiwa yanaendelea kupoteza mvuto aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2000, Jaqueline Mengi ametaja baadhi ya sababu...

READ MORE

Clatous Chama Azungumzia Pointi za Yanga

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, ameweka wazi kwamba licha ya kukosa kucheza na Yanga Oktoba 18, mwaka huu...

READ MORE

Billinas: Nandy Anaanzaje Kuvua Pete Yangu!

MARA nyingi husemwa uhusiano wa kimapenzi wa mastaa ni wa tia maji tia maji huku wengi wakithibitisha kumwagana muda mfupi...

READ MORE

Mwakinyo Kuwania Mikanda Miwili Dhidi ya Muargentina

BONDIA bingwa wa mabara wa uzito wa superwelter, Hassan Mwakinyo, anatarajiwa kuutetea mkanda wake wa Chama cha WBF, Novemba 13...

READ MORE

Kigogo Burundi: Kaze, Ntibazonkiza Wataipa Ubingwa Yanga

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), Ramadhan Kabugi, amefunguka kuwa kitendo cha...

READ MORE

ZEC Yamsimamisha Maalim Seif Kufanya Kampeni

TUME  ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemsimamisha mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kutofanya...

READ MORE

Nafasi ya Kazi METL, ASP/PHP Developer.

Kazi mpya katika Kampuni ya Mo Dweji MeTL Group Limited Ajira za Mo METL, Kazi Tanzania, Kazi za MeTL Group...

READ MORE

Teknolojia ya Digitali Ilivyo Msingi wa Uchumi Imara Siku Zijazo

  Wiki iliyopita ilishuhudia kutangazwa kwa habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania. Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu...

READ MORE

Rais Trump Akubali Kuachia Madaraka

RAIS Donald Trump wa Marekani amesema yupo tayari kuachia madaraka baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu,...

READ MORE

Kocha Mpya wa Yanga Atua Dar, Atoa Kauli – Video

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu mpya wa Klabu ya Yanga amewasili Kwenye ardhi ya Bongo usiku wa kuamkia leo kwa ajili...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 16, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Benki ya NMB Kutoa Mikopo Nafuu kwa Wakulima na Wafanyabishara

Benki ya NMB imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inawasaidia wakulima na wafanyabiashara wadogo na wakubwa, katika kukuza shughuli zao za kiuchumi...

READ MORE

NEC Yakabidhi Majina ya Wapiga Kura, Karatasi ya Kupigia Kura – Video

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, nakala...

READ MORE

Dudu Baya Hajulikani Alipo Siku 60 Sasa!

Msanii mtata wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini almaarufu kama Dudu Baya (46), mkazi wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar, ametoweka...

READ MORE

Wanasayansi Watahadharisha Mlipuko wa Volkano DR Congo

WANASAYANSI wametahadharisha kuhusu hatari ya Mlima Nyiragongo uliopo Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo kulipuka.   Mlima huo ulilipuka...

READ MORE

Mobetto: Diamond Alitaka Tupime DNA kwa Mtoto ‘Majibu Haya Hapa’

MSANII wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuchukua vipimo vya...

READ MORE

Raja Casablanca Yamtaka Prince Dube

MTANDAO maarufu wa Soccer24 umeripoti kwamba, vigogo wa Morocco, Raja Casablanca wameweka ofa ya dola za Kimarekani milioni moja (US...

READ MORE

NEC Yakabidhi Nakala Ya Daftari La Wapiga Kura Kwa Vyama Vya Siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nakala tepe ya daftari...

READ MORE

Mtuhumiwa Uvamizi Studio za S2Kizzy Akamatwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii...

READ MORE