×

Esma: Wanaoniita Yuda Ipo Siku Wataniita Petro

Esma Khan, ambaye ni Dada wa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, NasibAbdul ‘Diamond’ amesema kuwa, waliompachika jina la...

READ MORE

Ota Benga: Kijana Mkongo Aliyetekwa na Kugeuzwa Maonyesho Marekani

Ota Benga alitekwa nyara huko ambako sasa kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani, lengo...

READ MORE

Mwili wa Agnes Almasy wa ITV Waagwa Dar – Video

MWILI wa aliyekuwa mwandishi wa habari na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy aliyefariki dunia gafla juzi umeagwa katika Kanisa la...

READ MORE

Mobeto, Tajiri Mambo Moto!

UTAKE, usitake utasemwa tu; hata ukijifukia chini! Ndivyo ilivyo kwa mwanamitindo na mjasiriamali hapa Bongo, Hamisa Mobeto ambaye kwa sasa...

READ MORE

Samia Suluhu Alivyofanya Kampeni Dar, Ataja Miradi Itakayotekelezwa 2020,25

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akizungumza  wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika Tabata...

READ MORE

Yanga: Tunaanza Ligi Kibabe

YANGA imepania kwelikweli kuhakikisha msimu unaoanza kesho wanatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Jumapili iliyopita, Yanga ilimtambulisha kocha mkuu mpya...

READ MORE

Kocha Mserbia Apewa Kibarua Kigumu Yanga SC

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amepewa masharti makubwa kwenye mkataba ambayo anatakiwa kuyafanya msimu ujao unaoanza kesho....

READ MORE

Chichi: Huduma ya ‘Msosi’ Iliniingiza Kwenye Sanaa

Kwa wapenzi wa kufuatilia filamu za Kibongo, jina la Lilian Shirima maarufu kwa jina la ‘Chichi’, litakuwa sio geni masikioni...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Afariki Akiongeza Makalio

Daktari mmoja nchini Marekani, Donna Francis ameshtakiwa mara baada ya kusababisha kifo cha mwanamke wa miaka 34 aliyekuwa anamfanyia upasuaji...

READ MORE

Vifurushi 21 Msaada wa Jack Ma Havikufika Kenya

Naibu wa Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Chris Obure amefichua kuwa vifurushi 21 vilivyokuwa na vifaa vya matibabu vilivyotolewa na...

READ MORE

Hakuna ‘Sub’ 5 Msimu Mpya Ligi Kuu

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya wachezaji watano kama ambavyo walitumia katika...

READ MORE

Wanawake Brazil Kulipwa Sawa na Neymar

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa mishahara sawa na wachezaji wa timu ya wanaume,  ametangaza Rais...

READ MORE

Live: Kampeni Za Magufuli Afika Musoma Kunadi Sera Zake Kwa Wananchi

 Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 5, 2020 DKT Magufuli anaendelea na...

READ MORE

Mbelgiji Simba Akesha Siku Mbili Akiwasoma Ihefu

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema ilibidi akeshe siku mbili akiwa anazisoma mbinu za Ihefu SC kabla ya kesho...

READ MORE

Aunty, Shamsa Waendeleza Vita ya Majibizano…

IKIWA ni saa chache baada ya mwanadada staa wa Bongo Fleva, Shamsa Ford, kudai kuwa anashangazwa na rafiki yake Aunty...

READ MORE

TBC na Chadema Wamaliza Mgogoro Wao -Video

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) jana Ijumaa Septemba 4, 2020 limefanikiwa kumaliza mgogoro uliokuwapo kati ya Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Ratiba Kampeni Wagombea Urais, Makamu Hii Hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini  (NEC) leo Septemba 1, 2020 imetoa ratiba ya kampeni za wagombea wa urais na...

READ MORE

Agnes Almasy wa ITV Kuagwa Leo

ALIYEKUWA mwandishi na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy, anatarajiwa kuagwa leo Septemba 5, 2020, jijini Dar es Salaam na baadaye...

READ MORE