×

Mapumziko ya Shakira Ufukweni Yawavutia Mashabiki Duniani

Nyota wa muziki wa kimataifa, Shakira, ameonekana akijipumzisha na kutafuta utulivu wa kiroho kwenye ufukwe wa Los Cabos, Mexico, kabla...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Haramu Itabaki Haramu Hadi Siku ya Kiama – Video

Kupitia kipindi cha Mapito cha Global TV, Shekhe Kandauma ameweka wazi msimamo wa Kiislamu kuhusu mambo yaliyo haramu, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Afrika Yaongoza Dunia kwa Vifo vya Ajali za Barabarani, Sababu Kuu Zafichuliwa

Kanda ya Afrika inakabiliwa na changamoto kubwa za usalama barabarani, na ajali ni moja ya visababishi vikuu vya vifo na...

READ MORE

Simba Kuzindua Jezi Mpya kwa Tukio la Hadhi ya juu Agosti 27, 2025

UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu...

READ MORE

ACT Wazalendo Yajibu Pingamizi la Luhaga Mpina kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama

Chama cha ACT Wazalendo kimewasilisha rasmi maelezo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikiweka wazi msimamo wake kuhusu...

READ MORE

CHADEMA Yapeleka Shauri Mahakamani Kupinga Maelekezo ya Msajili

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Oryx na Serikali Watangaza Uzinduzi wa Mfumo wa Usambazaji wa Gesi Soko la Samaki la Ferry

Dar es Salaam, 21 Agosti 2025: Kampuni ya ORYX Energies Tanzania kwa kushirikiana na Serikali na wadau wa soko, imetangaza...

READ MORE

NMB Benki Yatoa Elimu kwa Wafanyabiashara wa Dodoma Kupitia NMB Business Club

Benki ya NMB imeendelea kuimarisha uhusiano wake na wateja wa kibiashara kwa kutoa elimu na ufafanuzi kuhusu huduma na masuluhisho...

READ MORE

Putin agoma kukutanishwa na Zelensicky Ikulu ya Urusi

Putin agoma kukutanishwa na Zelensicky Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano kati ya Rais wa Urusi,...

READ MORE

Kashera: Watumishi wa Serikali Kufichua Siri ni Kosa la Jinai

Unajua kwamba mtumishi wa serikali aliyekula kiapo, akitoa siri ni kosa la jinai na anaweza kufungwa? Omar Kashera, mshauri na...

READ MORE

Spinoleague 2025, Moto Mpya wa Burudani na Zawadi za Kihistoria

Ikiwa ni msimu mwingine wa ushindani wa hali ya juu, Meridianbet imewashia moto mpya wapenzi wa burudani na zawadi. Ni...

READ MORE

Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria

Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria Magaidi waliokuwa na silaha jana Jumanne waliwauwa waumini karibu 27 waliokuwa...

READ MORE

Mashindano Ya Mpira Wa Kikapu Ya Makampuni  Ya Kichina Nchini Yanajenga Madaraja Ya Kibiashara

Stanbic yashiriki katika awamu ya 12 kuunga mkono uhusiano wa kina zaidi kati ya jumuiya za biashara za Kichina na...

READ MORE

Serikali Yatangaza Nafasi 199 za Ajira kwa Watanzania

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa

UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni...

READ MORE

Mwili wa Mwanafunzi Aliyeuawa kwa Tuhuma za Wizi wa Simu Wapumzishwa Babati – Video

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qashi, Yohana Amani Konki (18), umepumzishwa Agosti 19, 2025, katika kijiji cha...

READ MORE

Viongozi wa Ulaya Waungana na Zelensky Safari ya White House Kukutana na Trump

Baadhi ya viongozi wa Ulaya, wameamua kuandamana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine katika safari yake ya kwenda Washington katika...

READ MORE

Pesa Kibao Zipo Meridianbet Leo

Jumatano ya leo imekuja kivingine na wakali wa ubashiri kwani nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja ni kubwa sana. Mechi...

READ MORE

Wananchi Arusha Wapewa Elimu Kuhusu Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme

Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameelimishwa kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia umeme kupitia kampeni maalum ya...

READ MORE