×

Mashabiki: Mondi, Zuchu Waoane Tu Yaishe

BORA waoane tu yaishe! Ndivyo wanavyosema mamilioni ya mashabiki wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ wakimtaka jamaa...

READ MORE

Mbosso Alamba Dili Nono

MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso, ametangazwa kuwa...

READ MORE

Rais Aomba ‘Jerusalema’ ya KG Ichezwe Kwenye Sikukuu

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amewaomba raia wa nchi yake kusherehekea siku ya Urithi ya Mwaka huu (Heritage...

READ MORE

Staa WNBA Aolewa na Mwanamme Aliyemtoa Gerezani

MCHEZAJI nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Maya Moore, ameolewa na Jonathan Irons mwanamme aliyemsaidia kumuondoa jela baada ya...

READ MORE

Bilionea Awanunulia Wanaye Magari ya Kifahari ‘Ferrari Portofino’

BILIONEA wa Nigeria amewazawadia watoto wake magari ya kifahari aina ya Ferrari Portofino. Hatua ya bilionea Femi Otedola kuwanunulia mabinti...

READ MORE

MC Nassa Chipukizi Tishio Kwa Mastaa Wa Singeli

Pande za Mdaula mkoani Pwani na vitongoji vyake mkali wa michano ya singeli, Nassibu Stephene a.k.a Mc Nassa ndiyo habari...

READ MORE

Dhoruba Kali Yaiweka Gizani Marekani

  DHORUBA ya kitropiki imesababisha zaidi ya watu nusu milioni wa Marekani kukosa umeme wakati mvua kubwa ikinyesha na dhoruba...

READ MORE

NBC, Ofisi ya Mkoa Geita Wawafunda Wajasiriamali, Wachimbaji Geita.

    Wajasiriamali na wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita wameanza mafunzo maalumu yanayolenga  kwa kuwajengea uwezo wa  kuendesha biashara...

READ MORE

Senzo Awatuliza Yanga SC

MMOJA wa mabosi wa Yanga, Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini, amefunguka kwa kuwafuta hofu mashabiki wa timu hiyo akiwaambia...

READ MORE

Majaliwa: Chagueni Viongozi Wenye Mtazamo Mmoja

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Bariadi...

READ MORE

Wafungwa 7 Kati ya 219 Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

WAFUNGWA saba kati ya 219 waliotoroka kutoka katika Gereza la Singila, Moroto, Kaskazini-Mashariki mwa Uganda wamekamatwa. Wafungwa hao walimpiga risasi...

READ MORE

Breaking: Mwanafunzi Afukiwa na Kifusi Chato, Afariki

Mwanafunzi mmoja kati ya wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, amepoteza...

READ MORE

Msaidizi wa Membe Anashikiliwa na Polisi – Mambosasa

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo Septemba 17, 2020, amesema msaidizi wa mgomba...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Generation Africa Yatangaza Washindi Wawili Tuzo Ya USD 100,000

Washindi hao walijinyakulia kitita hicho katika shindano la GoGettaz Agripreneur kwa mwaka 2020, pamoja na tuzo heshima za chakula Afrika...

READ MORE

Nameless Awaonya Warembo: Msidanganywe na ‘Six Pack’

MSANII wa muziki nchini Kenya, David Mathenge almaarufu Nameless, kwa muda amekuwa akitoa maoni yake kwenye mitandao ya kijamii, huku...

READ MORE

Fahyma Awajia Juu Wanaomponda Mavazi!

MZAZI mwenziye na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma’ amesema kuwa, watu wanaochukia kazi...

READ MORE

Kanye West Aitupa Chooni Tuzo ya Grammy, Aikojolea

KANYE WEST ameitupa chooni tuzo ya Grammy na kuikojolea, tuzo ambayo ni ndoto ya kila msanii duniani kuja angalau kuishika...

READ MORE

LIVE: MAGUFULI – “MIMI Huwa SIJARIBIWI, Msije MKAFANYA MAKOSA

 MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Magufuli, leo Septemba 17, amewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kuendelea...

READ MORE

Wafungwa Zaidi ya 200 Watoroka Gerezani

ZAIDI ya wafungwa 200 wa Gereza la Singila, Moroto Kaskazini Mashariki mwa Uganda, wametoroka gerezani baada ya kufanikiwa kumuua askari...

READ MORE