×

STAMICO Yanunua Mitambo Ya Kisasa Zaidi Kuwahi Kutokea Nchini

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenunua mitambo mitatu ya uchorongaji yenye teknolojia ya kisasa zaidi kuwahi kutumika hapa nchini....

READ MORE

Mtwara: Baba, Mtoto Wafariki Ajalini

WATU watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya...

READ MORE

Maxrioba: Mimi Si Meneja Tena wa Wema, Mobeto

ALIYEWAHI kuwa meneja wa Hamisa Mobetto, Max Rioba, ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye si meneja wa Hamisa Mobetto tena...

READ MORE

Watanzania Kuingia Kenya Bila Kuwekwa Karantini

SERIKALI ya Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye...

READ MORE

Petitman: Inaniuma Kuitwa Mbeba Pochi wa Wema

MENEJA na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka kuwa alikuwa anaumizwa na maneno ya watu mitandaoni kiasi cha kufikia hatua ya kuchanganyikwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kenya: Mchekeshaji wa Miaka 19 Apewa Mkataba na Rihanna

Mchekeshaji Elsa Majimbo ambaye amejipatia umaarufu kwa hotuba zake katika mtandao wa Twitter na Instagram tangu kuanza kwa mlipuko wa...

READ MORE

Mama wa P Funk Azikwa Uholanzi

MWILI wa mama mzazi wa mtayrishaji wa muziki wa Bongo Fleva, P Funk Majani, Aunt Sheilah, umeshindikana kurudi ili kuzikwa...

READ MORE

KCB Yaingia Mkataba wa Mil. 500 na TFF

BENKI ya KCB leo Septemba 13, 2020 imesaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kudhamini Ligi...

READ MORE

Anaswa na Kichwa cha Mtoto Mbele ya Bunge

POLISI nchini Uganda wametibitisha kuwa kichwa cha mtoto kilichokatwa, kilichopatikana katika kikapu cha mwanamme aliyekamatwa kwenye lango la bunge nchini...

READ MORE

JPM Aagiza Mkuu Shule Iliyoteketea Kagera Aachiwe

SELEMAN ABDUL, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais Dkt. John Pombe...

READ MORE

Wakala wa Kagere Amkomalia Kocha wa Simba, Anusa Hujuma

PATRICK Gakumba, wakala wa mshambuliaji namba moja ndani ya Simba, Meddie Kagere, amesema kuwa amepokea ofa nyingi kutoka timu tofauti...

READ MORE

JPM Amvulia Kofia Alikiba, Amvisha Kama Diamond, Harmonise -Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Aubameyang Amaliza Ukimya Arsenal

HATIMAYE nahodha na mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ya England, Pierre Emerick Aubameyang, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu...

READ MORE

Membe: Wapinzani Tumekumbwa na Ukata

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na...

READ MORE

Mastaa Hawa ni Chui na Paka

KWENYE muziki, ni kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida, kuna baadhi ya wasanii wao wamejikuta kutokana na sababu zao, hawapikiki...

READ MORE

Sarpong Aivulia Kofia Ligi Kuu Tanzania Bara

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Young Africans Michael Sarpong, amekiri uwepo wa ushindani wa kweli katika Ligi Kuu Tanzania Bara,...

READ MORE

Morrison Alivyowaponza Manara, Bumbuli na Hans Poppe

KAMATI ya Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewapiga faini ya jumla ya Sh milioni 15, Ofi sa Habari...

READ MORE

Mzee Yusuph Kufumbua Fumbo Dar Live

Baada ya Mfalme wa Taarabu hapa nchini, Mzee Yusufu kuja na Narudi Mjini, sasa aja kufumbua fumbo na shoo ya...

READ MORE

GSM Wabadili Mfumo wa Bonus Kwa Wachezaji Yanga SC

HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa...

READ MORE