BEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amempigia saluti beki mpya wa timu hiyo, Mkenya, Joash Onyango kwa kusema...
READ MOREMGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu ameteuliwa na Tume ya Taifa ya...
READ MOREMgombea ubunge wa Ruangwa Mkoa wa Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo...
READ MOREMsimamizi wa Uchaguzi Morogoro Mjini, Sheila Lukuba amempitisha Abdulazizi Abood (CCM) kuwa mgombea pekee wa Ubunge Jimbo hilo baada ya...
READ MORETANGU kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi, mkoa wa Kilimanjaro umekuwa ngome ya upinzani kwa kupitia vyama vya NCCR Mageuzi...
READ MOREHALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu...
READ MOREMSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amefunguka kuwa deni kubwa kwa sasa lililo mbele yake ni kuhakikisha anafunga mabao...
READ MOREVIJANA waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiikiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa...
READ MOREMUSA TWALIBU mkazi wa jijini Dar es Salaam, anayekabiliwa na kesi ya tuhuma ya kumteka mfanyabiashara, Mohamed Dewji Mo, ameieleza...
READ MOREWAGOMBEA ubunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na...
READ MOREIMEFAHAMIKA kuwa upo uwezekano mkubwa wa beki mkongwe Kelvin Yondani ‘Vidic’ kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo upya na uongozi...
READ MOREKIUNGO fundi, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo ‘Carlinhos’ (25), amewasili rasmi nchini tayari kuanza majukumu yake ndani ya...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa...
READ MORECHAMA cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...
READ MOREMWENYEKITI wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
READ MOREMTUMISHI wa kazi za ndani Ashura Suka (15) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji...
READ MOREMWENYEKITIwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa...
READ MOREMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa...
READ MORETUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar...
READ MOREKIUNGO wa Yanga, Balama Mapinduzi, anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya wiki nne kutokana na kutibu mguu wake wa kushoto...
READ MORE